Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 247
Nape umebakiza wanachama wangapi Arusha?
mpaka wamasai wamekubali awamu hii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
kazi kweli kweli
hapa tunasubiri kwa hamu sanaAidha, alisema operesheni hiyo itahamia wilayani Monduli Juni 24, wanakotarajia kuvuna wanachama wengi, hasa kutokana na maombi ya muda mrefu ya wananchi wa maeneo hayo.