M MTENDAHAKI JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,013 Reaction score 1,448 Feb 3, 2012 #21 Ama kweli CCM NGANGALI,PAMOJA NA PROMO ZOOTE HIZI ZA CHADEMA WANANCHI BADO WANAICHAGUA!
kingxvi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 879 Reaction score 152 Feb 3, 2012 #22 hivi padri slaa bado yupo huko?
S senzota2015 New Member Joined Jan 21, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Feb 3, 2012 #23 RedDevil said: Uchaguzi ni lini vile wanaJF? Click to expand... tarehe 12/02/2012.
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Feb 3, 2012 #24 Kengemumaji said: Kama mmegundua kwamba siri ya ushindi ni ubwabwa, wapeni huo ubwabwa ili mshinde! Click to expand... Kenge mu maji wee! Mpmbavu zako wee!
Kengemumaji said: Kama mmegundua kwamba siri ya ushindi ni ubwabwa, wapeni huo ubwabwa ili mshinde! Click to expand... Kenge mu maji wee! Mpmbavu zako wee!