Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Wanachoweza kwa sasa ni kukusanya FISI kwenye mikutano yao tu
Chama cha Demokarasia na Maendeleo CHADEMA leo imeshinda kwenye kesi iliyofunguliwa na Aliyekuwa mgombea wa ccm kupitia ccm Joseph Lymo.
kesi hiyo iliyofanyika kwenye Mahakama ya wilaya ya Arumeru iliyopo sekei. Walimshtaki GODFREY J MUSHI aliyeshinda serekali ya mtaa kupitia tiketi ya Chadema. Kesi hiyo imetupiliwa mbali kutokana na kutokidhi matakwa ya kisheria ya mahakama.
Chanzo: Mwanahabari Huru
Angalia hii...Mlalamikaji wa CCM ni kutoka CHAGGALAND...Mlalamikiwa ni wa Chadema naye ni kutoka CHAGGALAND...hiyo serikali ya mtaa iko ArushaLand ambapo mbunge wake ni wa Chaggaland pia.Je hii ni ishara ya mbunge huyuhuyu wa Chaggaland kurudi tena bungeni...???
Hizi ni Salaam za Kinana na team yake wanayokuja ArushaAsante Mungu kwa hzi nguvu unazozd kutujaza kila siku. tutaheshimiana tu make ccm bado wanajifariji na kututusi, ila tutaheshimiana tu! asante mleta mada umefanya cku yang izdhii kupendeza
Sasa nyie chadema yaani kazi yenu ni kushinda tu kila mahali???hamna kazi nyingine ya kufanya??yaani kila penye ushindani mnashinda nyie tu!iwe kwenye kura,kwenye hoja bungeni hadi mhakamani? Mmezidi sasa na nyie,wala siwapendi tteena!!!
Chadema hata kitongoji kwenu Ni agenda? Kazi kweli kweli
Angalia hii...Mlalamikaji wa CCM ni kutoka CHAGGALAND...Mlalamikiwa ni wa Chadema naye ni kutoka CHAGGALAND...hiyo serikali ya mtaa iko ArushaLand ambapo mbunge wake ni wa Chaggaland pia.Je hii ni ishara ya mbunge huyuhuyu wa Chaggaland kurudi tena bungeni...???
chadema hata kitongoji kwenu ni agenda? Kazi kweli kweli
===>Baada ya kushinda kesi nini mmepata?Chama cha Demokarasia na Maendeleo CHADEMA leo imeshinda kwenye kesi iliyofunguliwa na Aliyekuwa mgombea wa CCM Joseph Lymo.
Kesi hiyo iliyofanyika kwenye Mahakama ya wilaya ya Arumeru iliyopo Sekei. Walimshtaki GODFREY J MUSHI aliyeshinda serekali ya mtaa kupitia tiketi ya CHADEMA. Kesi hiyo imetupiliwa mbali kutokana na kutokidhi matakwa ya kisheria ya mahakama.
Chanzo: Mwanahabari Huru