CHADEMA mkoa wa Arusha juzi ilizindua mradi wa maji uliogharimu
40mil, fedha kutoka kwa wananchi na CHADEMA. Uzinduzi huo ulifanywa na
Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa, pamoja na Mwenyekiti wa
BAVICHA mkoa Nanyaro katika kijiji cha Ng'iresi kata ya Oltroto Arumeru magharibi. Mradi huu ni jitihada
za chama pamoja na wananchi hao ambao wapo jirani na vyanzo vingi vya
maji lakini bado wanateseka na kutokuwa na huduma hiyo ya maji
Mradi huo ambao umekamilika utanufaisha zaidi ya wananchi 5,000.
Baada ya uzinduzi huo ndipo wananchi wananchama wa ccm waliporudisha
kadi zao na kujiunga na CHADEMA, zaidi ya 960 za ccm zilirudishwa na
walijiunga na CHADEMA wakiongozwa a mwenyekiti wa kijiji, pamoja na vitongoji vyote
vinne
View attachment 45952Umati uliojitokeza kwenye uzinduzi
View attachment 45954
Katibu wa mkoa pamoja na mwenyekiti aliyerudisha kadi akiingalia ya CHADEMA kwa umakini
View attachment 45953
Mradi wa maji uliogharimu 40mil
Nawasilisha
Sikuweza kupiga picha vizuri kwa sababu nilikuwa natumia simu hata hivyo kijijini ukipata watu 1000 ni wengi sana huwezi linganisha na mijini...karibu ChademaDuh huo ndio UMATI wa watu!!! Kha! Kweli ukipenda, hata chongo utasema ni kengeza!
hhhhhhhhhhh. chadema kwa kuweweseka, eti wanachama, wamedanganywa wamedanganyika
WIVU!ihhhhhhhhhhh. chadema kwa kuweweseka, eti wanachama, wamedanganywa wamedanganyika
NDANI YA MIAKA 5O YA UHURU CCM WAMESHINDWA KUPELEKA HT MRADI WA MAJI WA 1ML KWENYE KIJIJI HICHO, kama unaakili timamu unaweza kutueleza sababu za kushindwa kufanya hvy?Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba.. Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?
peoplesssssssssssssssssss..................
Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..
Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?
hhhhhhhhhhh. chadema kwa kuweweseka, eti wanachama, wamedanganywa wamedanganyika