CHADEMA Yasimamisha Dodoma

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
Mkutano mkubwa sana unaendelea mdaa huu hapa Dodoma na viongozi Mbalimbali wa Chama wapo hapa mwitikio wa Wananchi nimkubwa sana Updates zinakuja

Attachments

  • dodoma1.png
    169.4 KB · Views: 11,702
  • dodoma2.png
    101.8 KB · Views: 11,497
tundu lissu akiwa jukwaani kuhamasisha wananchi kundiandikisha kwa wingi kuanzia kesho
 
Attachments

  • 1433339627074.jpg
    78.2 KB · Views: 3,575
  • 1433339651255.jpg
    73.9 KB · Views: 3,239
  • 1433339683392.jpg
    53.1 KB · Views: 2,809
Mkutano mkubwa sana unaendelea mdaa huu hapa Dodoma na viongozi Mbalimbali wa Chama wapo hapa mwitikio wa Wananchi nimkubwa sana Updates zinakuja
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.
 
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.
Ndio Maana Mr. Tembo Man anatembea nawaganga
 
mbona walisema Dodoma hakuna chadema...ivi kumbe wachaga asili yao in Dodoma eee...safi sana piga kazi chama langu mwaka huu lazima kieleweke..
Waliopo hapo dodoma ni waganga njaa kama wewe hawajui lolote ni vibendera fata upepo kama ulivyo wewe mbumbumbu
 
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.

yes kama alivyofanya mtia nia pale SHEIK AMRI ABEID KARUME

Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.

swissme
 
Ndio maana mnafanya Maigizo
hivi kati ya ccm na Chadomo nani wanafanya maigizo? Nyie mmetafuta urais kwa muda gani mpaka hvi leo? Je mmewahi kuupata huo urais? Sasa hauoni hapo nyie mnaigizo, sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…