sambestman
Member
- Jan 2, 2012
- 38
- 18
Uamsho kilivokuwa kinasemwa kinapeea misaada kutoka Oman, watu walifoka sana, mada tele zikawekwa, majungu kila kona, leo imetajwa Chadema imekuwa haina tatizo sio? Mkuki kwa ngurue kwa binaadam mchungu au anye kuku akinya bata kahara!
Kwani CHADEMA wanachoma misikiti?Uamsho kilivokuwa kinasemwa kinapeea misaada kutoka Oman, watu walifoka sana, mada tele zikawekwa, majungu kila kona, leo imetajwa Chadema imekuwa haina tatizo sio? Mkuki kwa ngurue kwa binaadam mchungu au anye kuku akinya bata kahara!
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
Mkuu, ukistaajabu ya Musa utaona ya Filauni. Acha tusubiri ccm nyingne kwa jina la Chadema, madarakani 2015. Lakini sisi kama vijana, tutawajibika kwa hilo, kabla kizazi cha watoto wetu kupita. Baraka zenu kama wazee wetu na ziwe juu ya kuwafundisha ukweli wa mambo wale wasioona. Adui yetu sio ccm tu, ni ccm na vyama vyote vya siasa. Ila kwa sasa ni vigumu mno kueleweka na vijana, watakuita kila aina ya jina baya, ukiwafunulia ukweli wa mambo. TUPO TUNAONA, TUTAONA. HATUTOACHA BORA LIENDE, FURAHA YETU NI USAWA KWA WATANZANIA WOTE, USIPOKUWEPO HATA DAMU YETU NI UPUUZI! Mfumo mbovu wa siasa, ni mama wa maovu yote katika taifa. Zao la mfumo mbovu wa siasa, ni uozo. Demokrasia ni mfumo mbovu wa siasa, na kila kiongozi anayeamini humo, na kutokea humo, ni mbovu. HATUFAI!
Mungu wetu anaita!
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
Kama kuna chama cha kupinga Uislam hakiwezi kutokea ujerumanichama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
Ewe Mwenzetu MkiGoma,
Kwa kweli ninakushukuru mno kwa kutuletea taarifa hii njema ya CHAMA CHETU CHA WALALAHOI kubarikiwa japo ka-msaada toka huko ulikokutaja weye.
Kimsingi, kwa kuwa CHADEMA ndio kama hivo tunakijenga ki-shida shida hivo hivo, si sawa na vile VYAMA MATAWI YA CCM nchini, kwa kweli bado tunaomba sana misaada iongezeke kwa faida ya walalahoi wa nchi hii kupata utetezi uliotukuka bila ubaguzi wa rangi wala wa kidini.
Hivyo, huko unakotembea wewe mwenzetu chonde kawaambie nao Budhist Democratic Union, kama wapo, nao wakatuletee misaada mingine maana ndani ya nchi hii kila kitu CCM kishatafuna na MAFISADI wake mahiri ile mbaya.
Mwenzetu, endapo utakutana hata na Hinduist Democratic Union popote pale walipo nao kawaambie kwamba CHADEMA chama cha Walalahoi wa nchi hii tunahitaji misaada yao kujenga wigo mpana na imara wa ki-demokrasia kwa wote ndani ya nchi hii.
Asante sana kwa kutuletea hiyo taarifa murua wa misaada kwetu; nilikua sijaipata bado.
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
"Kishida shida" huku Mwenyekiti anaenda mkutanoni na VX 8 sita!
CHADEMA sasa mnakomba kila aina ya misaada pasipo kujali itikadi ya mtoaji. Conservative nao misaada yao ikiambatana na masharti ya kushabikia ndoa za mashoga MNAKULA MISAADA YAO. Hiki chama cha CDM hakina nia nzuri na watanzania, msimamo wenu ni kuuza nchi yetu kwa gharama yeyote
wewe kweli juha...unamjua laizer vizuri kweli wewe au unaropoka tu..CDM ni chama cha askofu leizer na malasusa
Partners, Tanzania Office, Konrad-Adenauer-Stiftung
Partners
CHADEMA
CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Party for Democracy and Progress) is the largest opposition party in Tanzania. After the national elections in October 2010, CHADEMA is represented in the Tanzanian Parliament (Bunge) by 48 MPs. It is also the official opposition in the Parliament. KAS Tanzania and CHADEMA have been working together since 2004. This technical cooperation includes capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination. Similar to CHADEMA the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM - Revolutionary Party) as well as the other opposition party Civic United Front (CUF) enjoy technical support from other German political foundations operating in Tanzania. Like the German party - Christian Democratic Union (CDU) - CHADEMA is also a member of the International Democratic Union (IDU). In order to foster the international democratic dialogue between parties, KAS Tanzania furthers the exchange of experience and expertise between CDU and CHADEMA. This agenda is only carried out and implemented in form of joint workshops and seminars, but CHADEMA does not receive any kind of financial support from KAS Tanzania.
To the website
Civic Education Teachers' Association (CETA)
The Civic Education Teachers' Association (CETA) is a Tanzanian NGO, which was founded by former Civic Education teachers. CETA's intention is to bring together teachers and to establish a forum for accademic exchange. In order to improve the teaching and the general knowledge about the subject, CETA regulary publishes journals, which influence the local and national political debates in Tanzania. The cooperation between KAS and CETA focuses on the provision and improvement of civic background knowledge, enabling young Tanzanians to take part at the political process
Tanzania Development Initiative Programme (TADIP)
The Tanzania Development Initiative Programme (TADIP) is a national Thinktank, whose agenda it is to improve sustainable development and good governance. Their programme aims at the establishment of effective democratic structures and a multi-party sytem. TADIP and KAS cooperate with other civil organisations in order to implement their common agenda.
Christian Professionals of Tanzania (CPT)
The Christian Professionals of Tanzania (CPT) is a catholic NGO, organised and active on the local and national level. Their main focus lies on the political and socio-economic dialogue. CPT and KAS have been cooperating for many years already with remarkable success.
Association of Quran Teachers in Tanzania (JUWAQUTA)
The Association of Quran Teachers in Tanzania (JUWAQUTA) is the umbrella association of Muslim religion teachers in Tanzania. The organisation's focus lies on the education and support of Quran teachers. The cooperation between JUWAQUTA and KAS includes diverse realms of the relationship between religion and politics. It intends to improve and expand the supporting role of religious organisations in Tanzania's democracy. The Association of Quran Teachers is one of KAS' closest partners concerning inter-religious dialogues in Tanzania.
Interreligious Council for Peace Tanzania (IRCPT)
The Interreligious Council for Peace Tanzania (IRCPT) is the largest multi-religious organisation in Tansania. It was founded in 2000 in order to develop a common ethical understanding accross all religions. The Council's central aim is to further the inter-religious dialouge in order to foster the peaceful togetherness and tolerance among the different religions. The cooperation between IRCPT and KAS lies within the role of religious organisation in the process of democratic development and good governance.
Tatizo hujui tatizo ni nini....
Kama adui yako wewe ni vyama vyote vya siasa unataka mfumo gani wa kiutawala kuleta huo usawa kwa watanzania utakujaje???
Je, unataka sheria za kidini au kimila ndo zituongoze???