ndikulonda
JF-Expert Member
- Jul 20, 2014
- 390
- 186
7. Samuel Six1. Stephen Wassira
2. Edward Lowassau
3. Lazaro Nyarandu
4. Harrison Mwakyembe
5. Mark Mwandosya
6. William Ngeleja
Hawa wanatajwa kuutaka urais kwa tiketi ya chama cha majambazi (ccm)
Haya majina mbona ya upande mmoja kama chama cha imani, napata mashaka na hiki chama. Potelea mbali kama nitaambiwa mdini hapa mwisho wa siku kuna watu itakula kwao ingawa wimbo wa ukombozi twaimba sote
Ukweli mbona unakuchoma kiasi hiki? Umezoea mauongo yenu ya bavicha.
Gazeti hili linamilikiwa na Waziri mmoja aliyetimuliwa kuhusu sakata la ESCROW (japo majuzi amaesafishwa katika mazingira yanayoweza kueleweka katika mazingaombwe tu). So, it's no rocket science kuelewa kwanini gazeti na mmiliki wake wangetamani kuona Chadema sio tu wanatoka UKAWA bali pia wanaangamia. Itambulike kuwa CCM imekuwa hifadhi muhimu kwa watu kama waziri huyo wa zamani, na pindi UKAWA wakifanikiwa kuingia Ikulu, basi segerea inawasubiri.