CHADEMA yajiengua UKAWA

Status
Not open for further replies.
Wewe jamaa unaonekana uko well informed lakini unapotosha mambo mengine.....CDM haijajiengua!!!
 
Bila kujua walioleta hizi propaganda bila kujua wamejikuta wakiijenga CHADEMA, kwamba ni chama cha wasomi na Makamanda makini, sio siri mwaka huu kitaeleweka.
 

Mnaweweseka sana, mnatafuta majibu ambayo hamtapata, UKAWA ni habari nyingine, makubaliano ya ukawa siyo ya barabarani...kuna kitu hamkielewi ila hatuna muda, tupo busy
 
Chadema mlianza na shetani mtamaliza na shetani.

Ccm mlianza na john komba kwa kuimba nyimbo zake kabla ya mikutano yenu,baada ya kifo chake mmeamua kutumia fisi
 
Bila kujua walioleta hizi propaganda bila kujua wamejikuta wakiijenga CHADEMA, kwamba ni chama cha wasomi na Makamanda makini, sio siri mwaka huu kitaeleweka.

Wao wanadikiri wanaibomoa cdm kumbe ndio wanaimaliza ccm
 
Ingawa mleta mada ni kama amekurupuka toka usingizini, ninamshukuru kwa jambo moja tu nalo ni kutambua uwepo wa vichwa vya kutosha vyenye Elimu inayojitosheleza kwenye nyanja zote ndani ya Ukawa, Pia atambue kua vyama vyote ndani ya Ukawa vitaendesha mchakato wa kuteua wagombea wao halafu anakuja kuteuliwa mmoja anaekubalika jimbo husika.
 
CHADEMA inatumia ukawa kama daraja,ikikalibia uchaguzi itajiondoa,inawalagai tu CUF
 
sasa mbona sijaonawagombea wa mikoa mingine? huu ni uchochezi wa wazi.
 
Hiki ni kifo cha ccm lazima atapetape na kurusha miguu.
 

umenifanya nitukane tusi kubwa sana na mungu anisamehe!

###gazeti la mafisadi haliwezi andika mema ya ukawa ikiwa wanakua kuwa dr.slaa akiingia magogoni ata wanyonga wahujumu uchumi wote!
 
source yako si ndio iliyosema kikwete kudili na mengi au sio wazushi hao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…