CHADEMA yaja kivingine

Hivi bado tunawaza CCM itakuja kuondoka madarakani 2020?...hebu tuwaze mengine...
 
Mtoa Mada hiyo namba4 mbona amesahau kuiorodhesha ( Kuja na Mbinu Mpya za kupata Viongozi)?
 
Lowasa anaingiaje hapo? Hii ni mipango ya Katibu Mkuu CHADEMA, Dr Mashinji. Na hizi kauli ndo zitakuwa zinamvunja moyo, mipango apange yeye sifa apewe mwingine.
Lowasa kagawa pesa nyingi sana inaonekana. Jamaa ni kapi la ccm. Na ijulikane kama asingekatwa ccm angebaki kuwa fisadi mschoni pa cdm.
 
Kumbe ni mikakati ya Lowasa and si ya chama? Nadhani imeanza kufuata msingi wa chama tawala - maamuzi kuanzia chini: shina, tawi, kata, wilaya, mkoa, taifa.

Hongera Lowasa, jenga chama chako ulichonunua unahaki ya kufanya lolote.
 
Lowasa anaingiaje hapo? Hii ni mipango ya Katibu Mkuu CHADEMA, Dr Mashinji. Na hizi kauli ndo zitakuwa zinamvunja moyo, mipango apange yeye sifa apewe mwingine.
Kaelekezwa na mmiliki/ mwenye mali - Lowasa, hivyo lazima aseme yeye katibu, maana Lowasa bado hajawa msemaji wa kampuni yake.
 
hata mtembee kichwa chini miguu juu: CHADEMA ni ile ile ya kisanii.
teteeee...tatizo huwa mnajivua ufahamu. lini chadema ikawa ili ile...? umesahau chadema inavyokwenda na wakati wa mbadiliko na kuilazimisha ccm kutumia nguvu za dola kubakia madarakani huku mkitumia sera za chadema kutawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…