huko diko kuisambalatisha ccm? muulize magesa. kunakamama anakaokopa hakuna mfano ccm ukichukua watano sehemu wanaingia wanachama ishirininatano wapya kabisaa tena hawajawahi kujiunga na chama chochote kile.yaani bikira!hongera kwa mafanikio, hiyo ndiyo siasa, mtu ukienda kuvua samaki unaweza ukabahatika na kuvua daga, au samaki mkubwa, ilihali nyavu zako zinafanya kazi, keep trying , this is how political moves are, once again congradulations
hongera kwa mafanikio, hiyo ndiyo siasa, mtu ukienda kuvua samaki unaweza ukabahatika na kuvua daga, au samaki mkubwa, ilihali nyavu zako zinafanya kazi, keep trying , this is how political moves are, once again congradulations
Sasa hivi Chadema wamekuwa watu wa miseme tu mara utasika Kigoma yalipuka baada ya kumuona Dr.Slaa, saizi Chadema yaisambaratisha CCM.
Divyo ilivyo ccm ni vitendo kuleta maedeleo siyo nadhalia.nyie chukueni tu hiyo michoko. mtu kama alikuwa mushidwa si anafata tena ili ashindwe. nyie kwauelewa wenu mdogo uliochaganyikana na gongo munasema eti mshindi wa pili lakini wenyeuelewa makini natimamu tunamuita ni mshindwa!Jifariji
Divyo ilivyo ccm ni vitendo kuleta maedeleo siyo nadhalia.nyie chukueni tu hiyo michoko. mtu kama alikuwa mushidwa si anafata tena ili ashindwe. nyie kwauelewa wenu mdogo uliochaganyikana na gongo munasema eti mshindi wa pili lakini wenyeuelewa makini natimamu tunamuita ni mshindwa!
wanywa gongo divyo walivyo huwaga hawajitambui kabisa hatakama amejinyea kwamfano kama sasa hawa chadema hawajuwi kabisa kuwa watanzania wameshawaelewa kuwa tatizo lao ni jaa.
Sasa hivi Chadema wamekuwa watu wa miseme tu mara utasika Kigoma yalipuka baada ya kumuona Dr.Slaa, saizi Chadema yaisambaratisha CCM.