Chadema yaisambaratisha CCM Busanda-Geita

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,721
Nikatika oparesheni chadema ni msingi Kata ya Rwamgasa jimbo la Busanda.Waliovua gamba Leo ni 1.Mwala Mwala-mshindi wa pili kura za maoni za udiwani CCM 2010 Kata ya Rwamgasa 2.Joyce Kipuyu-mgomb
ea udiwani Viti maalumu CCM 2010 Kara ya Rwamgasa 3.Dorothea Bundala-mhamasijaji wa mbunge kata ya Rwamgasa 2010 4.Mabalozi 4 na wanachama wapya 78.Kikosi ni Naibu katibu mkoa wa Geita Kamanda Rogers Ruhega,Dear Mama,Idimulwa na makamanda wengine wengi.Kesho ni eneo la Kirombero.
 
Piga kazi vijana 2014 wasikie maumivu tu hakuna kulala mpaka kieleweke enezeni injili ya mabadiriko MACCM wamevimbiwa,wamesambaratika, Kinana anatukanana na mawaziri wake kwenye majukwaa, wabunge wanakashifu serikali ya mwenyekiti wao mchana kweupe
 
hongera kwa mafanikio, hiyo ndiyo siasa, mtu ukienda kuvua samaki unaweza ukabahatika na kuvua daga, au samaki mkubwa, ilihali nyavu zako zinafanya kazi, keep trying , this is how political moves are, once again congradulations
 
huko diko kuisambalatisha ccm? muulize magesa. kunakamama anakaokopa hakuna mfano ccm ukichukua watano sehemu wanaingia wanachama ishirininatano wapya kabisaa tena hawajawahi kujiunga na chama chochote kile.yaani bikira!
 
Sasa hivi Chadema wamekuwa watu wa miseme tu mara utasika Kigoma yalipuka baada ya kumuona Dr.Slaa, saizi Chadema yaisambaratisha CCM.
 
Nimefurahishwa sana name mwitikio wa akina mama chini ya mratibu wa bawacha Kara ya Rwamgasa akisaidiwa na kamanda Husna toka Cha to
 
huko diko kuisambalatisha ccm? muulize magesa. kunakamama anakaokopa hakuna mfano ccm ukichukua watano sehemu wanaingia wanachama ishirininatano wapya kabisaa tena hawajawahi kujiunga na chama chochote kile.yaani bikira!

Jifariji
 
Sasa hivi Chadema wamekuwa watu wa miseme tu mara utasika Kigoma yalipuka baada ya kumuona Dr.Slaa, saizi Chadema yaisambaratisha CCM.

wanywa gongo divyo walivyo huwaga hawajitambui kabisa hatakama amejinyea kwamfano kama sasa hawa chadema hawajuwi kabisa kuwa watanzania wameshawaelewa kuwa tatizo lao ni jaa.
 
Kumbe na Dear mama alikuwepo. Makamanda pigeni kazi mi nilidhani ni sera za mlumbani tu. Make mlumba mmeikamata mpaka m/kiti ccm mkoa/ msukuma anawaogopa. Viva dear mama na makamanda wote wa mulumbani.
 
Divyo ilivyo ccm ni vitendo kuleta maedeleo siyo nadhalia.nyie chukueni tu hiyo michoko. mtu kama alikuwa mushidwa si anafata tena ili ashindwe. nyie kwauelewa wenu mdogo uliochaganyikana na gongo munasema eti mshindi wa pili lakini wenyeuelewa makini natimamu tunamuita ni mshindwa!
 
Pamoja mkuu
 
maendeleo ya oparesheni tokomeza eti?
 
Sasa hivi Chadema wamekuwa watu wa miseme tu mara utasika Kigoma yalipuka baada ya kumuona Dr.Slaa, saizi Chadema yaisambaratisha CCM.

Mkuu toa boliti kwenye jicho lako kwanza.. Ndio umtoe na mwenzio, au huwa husomi thread za pro ccm wenzako?

Hata hvyo kama kilicholetwa sio uwongo ni ukweli, basi wewe utakuwa huna pointi mpya zaidi ya porojo za kawaida tu!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom