A view to a kill JF-Expert Member Joined Jun 9, 2015 Posts 2,213 Reaction score 1,272 Dec 19, 2015 #21 Tanga mjini pamoja na kuwa na madiwani wengi majani ndo wametoa meya,
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,187 Dec 19, 2015 #22 mbona sielewi?? juzi kuna post ya kuwa diwani wa vijibweni ni meya wa dar, leo habar nyinginee Attachments 1450532451793.jpg 44.9 KB · Views: 533
M MpendaTz JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 2,235 Reaction score 946 Dec 19, 2015 #23 MUSIGAJI said: Elimu,elimu,elimu Click to expand... Ufahamu wa Demokrasia bado ni Elimu nzito Tanzania.
MUSIGAJI said: Elimu,elimu,elimu Click to expand... Ufahamu wa Demokrasia bado ni Elimu nzito Tanzania.
M Mutakyamirwa JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 4,942 Reaction score 1,360 Dec 19, 2015 #24 me nafikiri hasira za figisufigisu za uchaguzi uliopita ziamie hapo....wafundishwe adabu. Hatuitaji kudharaliwa kiasi hicho...
me nafikiri hasira za figisufigisu za uchaguzi uliopita ziamie hapo....wafundishwe adabu. Hatuitaji kudharaliwa kiasi hicho...
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,975 Dec 19, 2015 #26 Kama.mmeweza kuchezewa rafu kwenye urais...sembuse na huu umeya??
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Dec 19, 2015 #27 analaizi said: Meya wa UKAWA kwa Dar atafanya nini?hilo toeni jibu.sasa chama tawala kinaendelea kasi Click to expand... Atasimamia maslahi ya wana DSM kule UDA na standi ya mabasi ubungo. Any further question!?
analaizi said: Meya wa UKAWA kwa Dar atafanya nini?hilo toeni jibu.sasa chama tawala kinaendelea kasi Click to expand... Atasimamia maslahi ya wana DSM kule UDA na standi ya mabasi ubungo. Any further question!?
M mwongozo junior Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 180 Reaction score 65 Dec 19, 2015 #28 Mbona wote wanaopendekezwa wanatoka chadema. Ukawa ni chadema tu!? Mmmmmhhh
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,261 Reaction score 98,288 Dec 19, 2015 #29 analaizi said: Hatuhitaji meya dar.atachelewesha maendeleo.RC anatosha Click to expand... Kazi ya rc ninini?kuna jipu pia hapo
analaizi said: Hatuhitaji meya dar.atachelewesha maendeleo.RC anatosha Click to expand... Kazi ya rc ninini?kuna jipu pia hapo
M mombaboy JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 272 Reaction score 23 Dec 19, 2015 #30 Tatizo upinzani biti nyiiiingi mistari hakuna
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,073 Reaction score 16,629 Dec 19, 2015 #31 sasa meya wa ukawa dar atafanya nini?ebu acheni kujisumbua nyie wakiwa?
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,962 Dec 19, 2015 #32 kuna tatizo kubwa sana la kiasa nchi hii lakini watu wanachukulia poa tu
K kisingi JF-Expert Member Joined Apr 9, 2014 Posts 516 Reaction score 377 Dec 19, 2015 #33 Pesa za MCC zimeota mbawa kwa udhalimu wa kisiasa. Hili la umeya Dar lisiongeze ubazazi unao onekana kimataifa na kufanya Tanzania nchi ya demo siasa badala ya democracy
Pesa za MCC zimeota mbawa kwa udhalimu wa kisiasa. Hili la umeya Dar lisiongeze ubazazi unao onekana kimataifa na kufanya Tanzania nchi ya demo siasa badala ya democracy
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 Dec 20, 2015 #34 amini msiamini nawaambieni hakuna chama hatari kwa amani na umoja wetu kama ccm...