CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,529
Nilitaka kushangaa5.ELISANTE KIMARO-MWENYEKITI
Someni nyie acheni kurubuniwa na akina mbowe ambacho chuo kikuu hawajakanyaga. Mmeenda kufanya siasa au kusoma!!HATIMAYE CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAMEFANIKIWA KUPATA SAFU MPYA YA UONGOZI.
Siku zote katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi siasa huruhusiwa kwa watu wote,isipokuwa tu kunapokuwa na ukiukwaji wa taratibu na katiba.
Uongozi mpya uliojipambanua kama mtetezi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma ni kama ifuatavyo.
1.SAMSON CHACHA-MWENYEKITI
2.YOHANA BAYO-KATIBU
3.NEEMA JULIUS-MWENYEKITI BAWACHA
4.MS. ANNA-KATIBU BAWACHA
5.ELISANTE KIMARO-MWENYEKITI BAVICHA
6.JULIUS HARWELI-KATIBU MWENEZI
7.PETER FABIAN-KATIBU BAVICHA.
Safu hii mpya imechaguliwa siku ya jumapili katika uchaguzi uliofanyika katika ofisi za Ngong"onha chadema udom.
-Maalim mussa ndiye mwenyekiti mstaafu na amewatakia mafanikio mema viongozi wapya.
Naona tawi la wakaanga chips tu limeimarika hapo.HATIMAYE CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAMEFANIKIWA KUPATA SAFU MPYA YA UONGOZI.
Siku zote katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi siasa huruhusiwa kwa watu wote,isipokuwa tu kunapokuwa na ukiukwaji wa taratibu na katiba.
Uongozi mpya uliojipambanua kama mtetezi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma ni kama ifuatavyo.
1.SAMSON CHACHA-MWENYEKITI
2.YOHANA BAYO-KATIBU
3.NEEMA JULIUS-MWENYEKITI BAWACHA
4.MS. ANNA-KATIBU BAWACHA
5.ELISANTE KIMARO-MWENYEKITI BAVICHA
6.JULIUS HARWELI-KATIBU MWENEZI
7.PETER FABIAN-KATIBU BAVICHA.
Safu hii mpya imechaguliwa siku ya jumapili katika uchaguzi uliofanyika katika ofisi za Ngong"onha chadema udom.
-Maalim mussa ndiye mwenyekiti mstaafu na amewatakia mafanikio mema viongozi wapya.
Nini vyuoni hata vyooni piga mambo tu!!Siasa inaruhusiwa vyuoni?
Haya mambo utayakuta Tanzania tu!HATIMAYE CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAMEFANIKIWA KUPATA SAFU MPYA YA UONGOZI.
Siku zote katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi siasa huruhusiwa kwa watu wote,isipokuwa tu kunapokuwa na ukiukwaji wa taratibu na katiba.
Uongozi mpya uliojipambanua kama mtetezi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma ni kama ifuatavyo.
1.SAMSON CHACHA-MWENYEKITI
2.YOHANA BAYO-KATIBU
3.NEEMA JULIUS-MWENYEKITI BAWACHA
4.MS. ANNA-KATIBU BAWACHA
5.ELISANTE KIMARO-MWENYEKITI BAVICHA
6.JULIUS HARWELI-KATIBU MWENEZI
7.PETER FABIAN-KATIBU BAVICHA.
Safu hii mpya imechaguliwa siku ya jumapili katika uchaguzi uliofanyika katika ofisi za Ngong"onha chadema udom.
-Maalim mussa ndiye mwenyekiti mstaafu na amewatakia mafanikio mema viongozi wapya.
Siasa inaruhusiwa vyuoni?
vijana hao nilipenya kuwaona kweli chadema mko vizuriSafi sana vijana wetu endeleeni kukijenga chama ili tuwakomboe watanzania
sawaNaona tawi la wakaanga chips tu limeimarika hapo.
watakuwa wamesikia mkuuSomeni nyie a
Someni nyie acheni kurubuniwa na akina mbowe ambacho chuo kikuu hawajakanyaga. Mmeenda kufanya siasa au kusoma!!
kushangaa nini mkuuNilitaka kushangaa
sawaSafi sana.
mlacha alishasepa na sasa ni huyu mtu mwanaccm imara aitwaye kikulaJamani kwani mlacha hayupo tena udom?.....Pia nimesikia Prof mwamfupe kawa diwani wa kuteuliwa?....Ama kweli Udom hakuishi vituko