Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,730
Mwanga wa milele umpe ee bwana .....Amen
Sijaelewa mkuuView attachment 1086110
Tuko wengi tulioguswa na kifo cha Mzee Mengi na huu ndiyo wakati wa kusamehe!
Ya Mungu mengi, yawezekana kuna mahala tulikwazika hatunabudi kusameheana!Sijaelewa mkuu
Sijakuelewa ujumbe wenye kuambatana na dada huyu unahitaji nyama kidogoView attachment 1086110
Tuko wengi tulioguswa na kifo cha Mzee Mengi na huu ndiyo wakati wa kusamehe!
unao ushahidi usio na shaka ?WACHAGA NA CHADEMA WATAYUMBA KIUCHUMI. POLENI SANA
Utasubiri sana. Kuna vichwa vya Kichagga vina mpunga ukisikia unaweza kuzimia kwa jinsi ulivyo na wivu wa kike.WACHAGA NA CHADEMA WATAYUMBA KIUCHUMI. POLENI SANA
Meseji yao ilikuwa poa tu kwa msiba, kabla wewe huja-dilute na cheap politics. Ulikuwa unaogopa Uvccm watakuwahi!Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kupitia kwa umoja wa vijana wa chama hicho ( Bavicha ) ambayo ndio Taasisi imara zaidi ya vijana barani Africa kwa sasa , imesikitishwa na imeguswa na msiba wa Mzee Mengi na inawapa pole sana wote walioguswa na msiba huo , Bavicha iko bega kwa bega na wafiwa katika maombolezo
View attachment 1086105
Kwani unateseka mkuu ?Meseji yao ilikuwa poa tu kwa msiba, kabla wewe huja-dilute na cheap politics. Ulikuwa unaogopa Uvccm watakuwahi!