CHADEMA yafunika Shinyanga

Azima picha hata za jangwani jana
Maneno waachie ccm
 

Mkuu umeongea vizur kweli nlichotaka kuiandka umemaliza
 

Wewe ndo uache uwongo,mkutano wa ccm wa jana ulidolola na watu walikuwa wachache Sana ukilinganisha na mkutano wa Leo wa Ukawa watu weeeeengi Sana sijui Lowassa akija kiwanja gani kitatosha Shinyanga hii..masele mwenyewe wakuja,last time(2010) alifikiaga hotelini at least katambi hapa ni nyumbani.
 

Mbona unaonekana kama umechanganyikiwa vile? Tulia dawa ikuingie hata kama hautaki kufa kifo cha mende
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…