CHADEMA yafunika Babati

Hizi hapa update za Babati hapa Kodi akimwaga sera
 

Attachments

  • IMAG0142.jpg
    270.6 KB · Views: 105
Nilitaka nikutusi....lakini nikaona haitasaidia, ila nimeona kuwa ni wajibu wangu kukuelimisha kuwa usitegemee hii nchi itajengwa na watu toka Kenya ni mimi na wewe unayediriki kupokea rushwa.
 
Tehetehe
Naona kina mama kwa wingi hapo!![
QUOTE=Allien;3780190]
[/QUOTE]
 

Hivi magamba Huwa wanaakili? WANAPOSEMA CHAMA CHAO NI IMARA WANATUMIAGA INDICATOR GANI? Nijuavyo mimi ccm ni maiti iliyo mochuari pale magogoni ambayo mazishi yake ni dec.2015.
 

Wachu unaumwa?
 

mmmmmhhh hovyoooooooooooooooooo!!!!!!mav* kunuka
 

Kweye kibox chekundu: Kuna Huyu Mama wa CCM(mwenye kijani) kahudhuria mkutano. Ila inasikitisha sana kuona akificha uso wake mbele ya kamera ili kina MKAMA wasimuone ikawa noma kama ilivyowakuta kina Filikunjombe ana mwenzake wa Mwibara baada ya kutaka Pinda awajibike. Moyo woote uko CDM ila anaogopa viongozi wake.
 
Huyo mama wa CCM alivaa kijani mbona kainamisha kichwa? anajutia kwenda kwenye mkutano wa CDM na nguo ya kijani au?
 

dawa ya rushwa kwa ajili ya kupiga kura, ni kuchukua hiyo rushwa na humpigii aliyekupa rushwa, hivyo ndo walivyofanya wabunge wa chadema kwa kutoa dose , kauli mbiu ya chadema kwa watoa rushwa kwa ajili ya kura ni " kula ccm, kura chadema" hivyo hoja yako haina mashiko
 


Acha kuwa kilaza wa karne wewe, si lazima uongee kama hauna point kaa pembeni usitupotezee mda na nafasi hapa. Ukimwona mwizi anaiba unamwacha tu aibe ili uje kuongea katika jamiiforum kwamba ulimwona, go to hell! Kama uliona wakipokea rushwa ulishindwa nini kuchukua hatua hapo hapo tena ukawaumbua hata kwa picha tu. Au ndo wewe ulikuwa umetumwa kuwahonga na mwongaji mwenzako J.W.Malicela ikashindikana, sasa mnaanza kujisema wenyewe, Ahaaaaaaaaah!! Magamba bwana, mmebanwa kwelikweli. Mtaisoma!!
 

Utakuwa mchawi si bure!
 
ni baada ya mh.NASARI,kuingia katika uwanja wa mpira ambamo wa likua wa kicheza oljoro ya arusha na yanga.kiukweli vijana 2naweza kama 2ki pewa nafasi.
 

dah imeniuma kusikia hayo maneno 'eti chama ni ccm 2' pole xani
 
Watanzania wenye Mapenzi mema na nchi yetu tuungane pamoja kwa sasa na kumpinga na kumuondoa SHETANI CCM kila nafasi inapopatikana ya kufanya hivyo. Nandhani mnaona hadi watu wa vijijini sasa wameamka.

Wamefisidi sana nchi yetu sasa tusikubali tena waendelee kutuongoza.
 

Unapokuwa muongo hakikisha kumbukumbu zako ni sahihi,siku hiyo unayosema lisu alikuwa bado anashughulikia kesi yake huko singinda.
Na kwenye benchi lao alikuwa anakaa Mbowe,Nassari na Zitto....sasa unapokuja na bla bla zako unajidhalilisha tu.
 

Wewe acha kuudanganya Umma wa watanzania umetumwa na nani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…