Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Ndani ya ccm nani mwenye sifa za kugombea uraisi ?endeleeni kujipa moyo huu ndo mwaka wa mwisho utawala wa ccm.
Usijali. Hakuna cha ukawa wala chadema kuingia ikulu. Na si mwaka huu tu hata 2020 hawanusi.Kama kuna kosa kubwa ambalo watanzania tungelijutia basi ni kumchagua Mrema kuwa raisi 1995, sijui hii nchi leo hii ingekuwa wapi. Kosa hilo tuliloliepuka 1995 tuliepuke tena mwaka huu, sioni mtu ndani ya UKAWA mwenye sifa stahiki kuliongoza taifa hili. Wote ni wasaka tonge tu. Mtu pekee mwenye uwezo wa kuongoza hii nchi kwa sasa ni SAS
Kichwa CHADEMA ,Content UKAWA , au heading za CHADEMA ndio zinauza zaidi
Ha, ha. Actually huu ni mwaka wa mwisho wa vyama vya kihuni kama ChademaNdani ya ccm nani mwenye sifa za kugombea uraisi ?endeleeni kujipa moyo huu ndo mwaka wa mwisho utawala wa ccm.
Kama kuna kosa kubwa ambalo watanzania tungelijutia basi ni kumchagua Mrema kuwa raisi 1995, sijui hii nchi leo hii ingekuwa wapi. Kosa hilo tuliloliepuka 1995 tuliepuke tena mwaka huu, sioni mtu ndani ya UKAWA mwenye sifa stahiki kuliongoza taifa hili. Wote ni wasaka tonge tu. Mtu pekee mwenye uwezo wa kuongoza hii nchi kwa sasa ni SAS
Hebu onyesha hatari za wakati ule kama Mrema angetawala kupitia NCCR na pia usisahau kuonyesha mafanikio tuliyopata chini ya ccm, wakati unafanya hiyo analysis yako kumbuka na scandal zote za kifisadi zilizotokea, pia usisahau mikataba yote ya kifisadi inayotutesa mpaka leo, ufafanue kama haikuwa makosa au la kuirudisha ccm madarakani.Kama kuna kosa kubwa ambalo watanzania tungelijutia basi ni kumchagua Mrema kuwa raisi 1995, sijui hii nchi leo hii ingekuwa wapi. Kosa hilo tuliloliepuka 1995 tuliepuke tena mwaka huu, sioni mtu ndani ya UKAWA mwenye sifa stahiki kuliongoza taifa hili. Wote ni wasaka tonge tu. Mtu pekee mwenye uwezo wa kuongoza hii nchi kwa sasa ni SAS
Mtoa mada ana mtindio wa akili na ni kati ya watu waliodumaa akili. We need changes! Period