Huko nyuma Chadema ilipendwa kkwa kuwa ilikuwa mstali Wa mbele kukemea waovu na maovu mbalimbali!!kila MTU anakumbuka jinsi walivyotokwa na povu wakimkemea mwasisi Wa Richmond na waasisi Wa ufisadi mwingi nchini!! Lakini tangia mwasisi Wa Richmond ahamie Chadema na kitakatishwa kuwa malaika na huku Dr slaa akiwaachia chama chao , chama hiki kimegeuka kuwa chama cha kutetea waovu kukaribisha waovu utafikiri ni MTO yorodani ambao mkoma Naamani aliambiwa aende akaoge Mara saba ili ukoma umtoke!! Leo kila anayefukuzwa CCM kwa maovu aliyoyafanya anaonekana shujaa machoni mwa Chadema!! Leo RC Wa Kilimanjaro na majaji wamejiuzulu wanaonekana mashujaa machoni mwa Chadema!! Washukiwa madawa ya kulevya kina wema sepetu walipokihama CCM walionekana mashujaa machoni mwa Chadema!! Leo Mzee kinana ambaye Chadema walimzushia kuwa anauwa tembo na kuuza meno ya tembo akihama CCM au kuachia ngazi watamwona shujaa!!! Sasa najiuliza Paul makonda akijiuzulu watamwona kama nani??
Ndugu zangu wananchi Chadema inaitaji mkombozi Wa haraka kama kweli tunaitaji mbadala Wa Ccm huko mbele tuendako!! Kwa hali ilivyo kama Chadema ikiingia ikulu nchi itakuwa ukoo Wa panya kuliko awamu nyingine yoyote!!