CHADEMA with desparate politics

CHADEMA with desparate politics

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,543
Reaction score
14,803
Ladies & gents,

friends & enemies,

Hayawi hayawi hivi sasa yamekuwa,,kwa uwezo wake maulana hiv sasa tunazid kuomba uhai ili tujionee mbivu na mbichi katika siasa za nchi hii,

Without a further ado, najua nafahamika humu ndani,,na kwale wanaodhani tofauti basi niwape pole kwani sisi ni wale wale na siku zoote hatubadiliki na daima hatuwezI kuwa vikaragosi vya wanasiasa kama walivyo watu wengine,

CCM 2015 ndiyo hii imefika,,karibun sana Mtwara kwa mara nyingine na tutakuja kuhojiana vizur muda ukifika,,,je mtakuja tena na vifaru???ha Ha ha..karibuni sana.

Nisiwachoshe sana,i want to take this oppoturnity to congratulate our honourable professor Ibrahim Haruna Lipumba kwa kutoa nia yake ya kutaka kutanga kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Kama tunavyojua kwamba CUF ni miongoni mwa chama kinachounda umoja wa ukawa katika kile kinachoonekana ni kuunganisha nguvu ya kuiondoa CCM madarakani,

Hongera sana Professor, lakini rai yangu kwako ni kwamba hawa jamaa zako ulioungana nao wanaoitwa CHADEMA wako desparate,,na kaa ukijua kwamba hawawezi kukubali kukupa kijiti hiko.

CHADEMA wanajua fika kwamba Zanzibar hawana chao, hata bara hawana chao lakinI ni the only place kwao kuliko bakia ambako wanakutolea macho, je unadhani wewe unaweza pata ridhaa yao???

Bila shaka huwez pata ridhaa yao,,i hate CCM, i really hate CCM kwa skendo zao za ufisadi, rushwa uongozi mbovu na mengi meengi yasiyo na kifani,,lakin i hate more CHADEMA kuliko CCM. na nataka kuwahakikishia chadema kwamba ule mwaka wa kustaajabu kwenu ndiyo huu umeshafika, na turufu yenu ya kuhurumiwa japo kiduchu ipo kwa ukawa, sasa jaribuni kumkata kijembe profesa lipumba then mtaona uhalisia wa kufeli kwenu jinsi kulivyo wazi wazi,

Kila mtu anajua fika ya kwamba mnajificha nyuma ya kivuli cha ukawa, ofcourse siyo mbaya kwenu lakini kaeni mkitambua kwamba tunazingatia sana mienendo ya siasa zenu,

Hongera sana Profesa.
 
Utaumia sana mkuu maana ukawa wanakaa meza moja ndo apatikane mmoja,hizo propaganda zako za udini na ukanda unajisumbua hazina nafasi tena,propaganda za kidini na ukanda unaonekana upo nyuma ya wakati
 
Profesa wa kufeli.. Huyo Profesa ndie amekataliwa na Watanzania mara 4 mfululizo tena bila hata ya chembe ya kuibiwa kura kama ilivyokuwa kwa Mrema na Dr. Slaa..

Profesa la kufeli haliwezi kupewa hiyo nafasi, Profesa la kufeli likagombee ubunge tu tulipe Uwaziri Mkuu yatosha.. Wamakonde wenzako washaamka nenda na hizo porojo zako uone utavyopigwa mawe..
 
profesa wa kufeli.. Huyo profesa ndie amekataliwa na watanzania mara 4 mfululizo tena bila hata ya chembe ya kuibiwa kura kama ilivyokuwa kwa mrema na dr. Slaa..

Profesa la kufeli haliwezi kupewa hiyo nafasi, profesa la kufeli likagombee ubunge tu tulipe uwaziri mkuu yatosha.. Wamakonde wenzako washaamka nenda na hizo porojo zako uone utavyopigwa mawe..

wamakonde tuko smart sana

niambie jimbo lolote la kusini tulilotoa kura kwa chagadema

never never
 
utaumia sana mkuu maana ukawa wanakaa meza moja ndo apatikane mmoja,hizo propaganda zako za udini na ukanda unajisumbua hazina nafasi tena,propaganda za kidini na ukanda unaonekana upo nyuma ya wakati

mkuu

mimi sifanyi propaganda za aina yeyote

mimi nakueleza kitu kilichopo
 
Kwanza nishukuru THE BIG SHOW kwa kuandika uwongo unaojua kuwa haiwe kuwa kweli. Najua unatamani iwe kama unavyotamani iwe ila bahati mbaya/nzuri unajuwa haiwezi kuwa kama unavyotaka iwe.

Ha! ha! haa!!!!

Wacha nicheke miye kijukuu cha Sambai
 
Ladies & gents,

friends & enemies,

Hayawi hayawi hivi sasa yamekuwa,,kwa uwezo wake maulana hiv sasa tunazid kuomba uhai ili tujionee mbivu na mbichi katika siasa za nchi hii,

Without a further ado, najua nafahamika humu ndani,,na kwale wanaodhani tofauti basi niwape pole kwani sisi ni wale wale na siku zoote hatubadiliki na daima hatuwezI kuwa vikaragosi vya wanasiasa kama walivyo watu wengine,

CCM 2015 ndiyo hii imefika,,karibun sana Mtwara kwa mara nyingine na tutakuja kuhojiana vizur muda ukifika,,,je mtakuja tena na vifaru???ha Ha ha..karibuni sana.

Nisiwachoshe sana,i want to take this oppoturnity to congratulate our honourable professor Ibrahim Haruna Lipumba kwa kutoa nia yake ya kutaka kutanga kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Kama tunavyojua kwamba CUF ni miongoni mwa chama kinachounda umoja wa ukawa katika kile kinachoonekana ni kuunganisha nguvu ya kuiondoa CCM madarakani,

Hongera sana Professor, lakini rai yangu kwako ni kwamba hawa jamaa zako ulioungana nao wanaoitwa CHADEMA wako desparate,,na kaa ukijua kwamba hawawezi kukubali kukupa kijiti hiko.

CHADEMA wanajua fika kwamba Zanzibar hawana chao, hata bara hawana chao lakinI ni the only place kwao kuliko bakia ambako wanakutolea macho, je unadhani wewe unaweza pata ridhaa yao???

Bila shaka huwez pata ridhaa yao,,i hate CCM, i really hate CCM kwa skendo zao za ufisadi, rushwa uongozi mbovu na mengi meengi yasiyo na kifani,,lakin i hate more CHADEMA kuliko CCM. na nataka kuwahakikishia chadema kwamba ule mwaka wa kustaajabu kwenu ndiyo huu umeshafika, na turufu yenu ya kuhurumiwa japo kiduchu ipo kwa ukawa, sasa jaribuni kumkata kijembe profesa lipumba then mtaona uhalisia wa kufeli kwenu jinsi kulivyo wazi wazi,

Kila mtu anajua fika ya kwamba mnajificha nyuma ya kivuli cha ukawa, ofcourse siyo mbaya kwenu lakini kaeni mkitambua kwamba tunazingatia sana mienendo ya siasa zenu,

Hongera sana Profesa.

Mkuu big show kwajinsi ulivyojipambanua wewe ni CUF na unakubali muungano wa vyama UKAWa kwa lengo la kuwatoa CCM sasa hiyo chuki kwa mshirika wako Chadema unatoka wapi? Hizo hisia zako mbona kama zinakosa mashiko! Kwa uelewa wangu vyama vyote vimepewa haki sawa kwa makubaliano waliokubaliana kuanzia kwenye kamati za wataalam,tendaji mpka viongozi.na kama wewe ni mwanachama kwani usiwasilishe hizi hisia zako kwa chama chako ili yawa niajenda katika vikao vya UKawa? Huoni hili unalolifanya unawapa kina Ritz nafasi ya kusema UKAWa ni nguvu ya soda?
Watakaongamiza UKAWA si viongozi bali ni watu wenyekuleta hizi hisia na chokochoko!
 
Hakuna asiejua ya kwamba CHADEMA HAWATAKUWA RADHI KUONA CHAMA KINGINE KINASIMAMISHA MGOMBEA ISIPOKUA WAO.

HILO LIPO WAZI.

AU WEWE HULIJUI?
 
wamakonde tuko smart sana

niambie jimbo lolote la kusini tulilotoa kura kwa chagadema

never never

Mtwara Mjini kuna mitaa yenye hadhi inashikiliwa na CDM.. Hebu nitajie mtaa wowote wenye hadhi hapo Mtwara Mjini kwako unaoshikiliwa na CUF.

Madiwani pia mwaka huu utaendelea kuwaona tena wa hapohapo Mtwara Mjini kwako, Ubunge?? kwani kuna Mbunge wa CUF Mtwara nzima?? We umelogwa au?? Zaidi ya Lindi mjini kuna Mbunge yeyote wa CUF kusini??
 
Shida ya chadema wanamambo ya kihuni sana wao hupenda kila kitu wapate wao tu cuf wanatumika kama ngazi ya kupandia kwa chadema kwavile kilikuwa kimekufa.
 
Hakuna asiejua ya kwamba CHADEMA HAWATAKUWA RADHI KUONA CHAMA KINGINE KINASIMAMISHA MGOMBEA ISIPOKUA WAO.

HILO LIPO WAZI.

AU WEWE HULIJUI?
Hili lipo bayana kwa kila mtu hawataki hata kusikia kitu cha tofauti na mawazo yao.
 
Mtwara Mjini kuna mitaa yenye hadhi inashikiliwa na CDM.. Hebu nitajie mtaa wowote wenye hadhi hapo Mtwara Mjini kwako unaoshikiliwa na CUF.

Madiwani pia mwaka huu utaendelea kuwaona tena wa hapohapo Mtwara Mjini kwako, Ubunge?? kwani kuna Mbunge wa CUF Mtwara nzima?? We umelogwa au?? Zaidi ya Lindi mjini kuna Mbunge yeyote wa CUF kusini??

We ni NDOOOROBO KWELI...

SI NI BORA TUH UNUNUE GAZETI UJIPEPEE??

HEBU NIPE JIBU,,NI JIMBO GANI HUKU KUSINI LINALOSHIKILIWA NA CHADEMA??

MENTION JUST ONE...

:madgrin: :madgrin:
 
Hakuna hata moja... Kwakuwa hawakuweka nguvu huko.

Ukitoa Lindi ni Jimbo gani la Kusini linashikiliwa na CUF?? Tena hata Lindi ni Ubunge tu, Halmashauri iko chini ya CCM..

Hivi kwanini CUF haipati majimbo kwenye miji ambayo ni civilized?? CUF wana jimbo lolote kwenye miji mikubwa hapa Tanganyika?? Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya??
 
hakuna hata moja... Kwakuwa hawakuweka nguvu huko.

Ukitoa lindi ni jimbo gani la kusini linashikiliwa na cuf?? Tena hata lindi ni ubunge tu, halmashauri iko chini ya ccm..

Hivi kwanini cuf haipati majimbo kwenye miji ambayo ni civilized?? Cuf wana jimbo lolote kwenye miji mikubwa hapa tanganyika?? Dar, arusha, mwanza, mbeya??

kilwa kuna mbunge wa cuf,

masas pia kuna mbunge wa cuf
 
wamakonde tuko smart sana

niambie jimbo lolote la kusini tulilotoa kura kwa chagadema

never never
Mngekuwa smart mngeufyata mpaka gas ikatoka, ooh haitoki yako wapi. Na mtaendelea kuwa wa mwisho kiuchumi licha ya gas mpaka mjitambue
 
kilwa kuna mbunge wa cuf,

masas pia kuna mbunge wa cuf

Huyo wa Masasi bila shaka atakuwa ni NDOOOOOROBOOOO ndio maana hata hafahamiki..

Bora yule wa Kilwa nilimsahau kidogo..

BTW sio mbaya, Kaskazini CDM, Kusini CUF, Magharibi NCCR Mashariki CDM & CUF

Wewe endelea tu na chuki zako..
 
Hakuna asiejua ya kwamba CHADEMA HAWATAKUWA RADHI KUONA CHAMA KINGINE KINASIMAMISHA MGOMBEA ISIPOKUA WAO.

HILO LIPO WAZI.

AU WEWE HULIJUI?

Bado zinabaki kuwa hisia Zako.Kwani si kuna vigezo na taratibu ambazo vyama vinavyounda UKAWA wamekubaliana namna ya kupata mgombea.Tunatakiwa kuchallange vigezo siyo hisia
 
Back
Top Bottom