CHADEMA will never CHANGE TANZANIA


These are the last kicks of a dying horse at the end it must die!
 
wewe hutoweza kuibadilisha CDM Bali CDM Itaibadili Tanzania kwasababu nawe umo ndani ya Tanzania basi nawe utabadirika,hapo ndipo utakapojua kwamba CDM Imeibadirisha Tanzania Lakini huko uliko huwezi kujua ni vipi CDM itaibadiri Tanzania
 
Craaaaaaaaaap!
 

Well said, mzalendo wa kweli!
 

Bora ungeandika kiswahili.........and look who ''liked'' you!!!

Rejao, Kintiku and Tume ya katiba like this.
 


1. Wewe vipi\/ watazania wanazungumzia kupata Basic Human Needs wewe unatuletea wants

2. Unazungumzia watanzania wanaoishi nchi gani? Tanzania au? maana kama unatuzungumzia sisi tunaoishi nchi hii mabadiliko ndo tumeyaanza hivyo. Au unataka kuleta siasa za CCM za kutenganisha chama na watu? .... kwamba CCM ni nzuri viongozi ndio wabaya?

3. Hivi kuna mabadiliko bila 'wakala' (Change Agent)? Na mpaka sasa hujaelewa kwamba CDM ni 'wakala' wa mabadiliko Tz?
 
Lakini changes zinaletwa na visionary leaders, sio watanzania as a group peke yao, na hao viongozi wenye vision CCM kwa sasa hawapo, wamebaki akina Lusinde ambao sijui wame watoa wapi. Kama CCM wange kuwa makini, huwezi kumpeleka mtu kama huyo kwenye uchaguzi, Mgamba bado wame lala.
 

Unadhalilisha taaluma ya economics kwa kukariri tu.Km hivyo ndivyo unavyofikiria mbona kuna viongozi kibao duniani wanaotolewa mifano hadi leo kwa kuongoza vizuri nchi zao. Wacha kutuletea viconcepts vyako vya kukariri. Be a critical thinker
 
Nikweli mabadiliko yataletwa na watanzania wenyewe na mabadliko hayo nilazina yawenamsimamizi na msimamizi huyo ni chadema nitakupitia baadae
 
Yes, thats true, and I'm from CDM and many mores are from CDM, so automatically CDM will change tanzania.
 
Yeah, People themselves will make change, but they do need a catalyst, CDM is! Cant you see that? People needs to make changes but, they need someone or rather something that will trigger them to make changes, CDM is

Development is about people themselves.if wananchi are sleepy then even the most selfless of leaders cant do it for them. Mujumba is right when he says CDM is only a political party given state power, they will more or less act like CCM as they have selfish individuals in their ranks, and this selfishness, the quest for more power, more wealth is a natural human tendency..in other words CDM or any other party of reformers can be eager to change but if left alone without citizens agitation for more mabadiliko economically, socially and politically, these reformist will at the end of the day do little, try little, or worse turn against all those principles that brought them power..
 
CCM milele,, chadema yataka kutudanganya sisi wabongo tu, sera zao ni hafifu sana hao makelele tu
 
 
Hivi hao Watanzania kwa nini hawajaleta mabadiliko ndani ya miaka 50 na matokeo yake tumekuwa maskini wa kutupwa? Ni kwa kuwa watz hawataki maendeleo?
 

Stupid comment everseen in jamvini! When you say 'us'means people's power,when you speak abou Tanzanians means peoples power,there4 you are among them,join the team of M4C,you are not late,REF.JAMES O MILYA
 
Ndugu yangu Mujungu, I beg right away to differ with you. In a nation like Tz, where people have been doctrinated by one party monopoly and bulldozing, we need to have an organ(Like CDM) which will awake and consentise the people to make needfull changes. CCM by deeds and words have demonstrated that they don't want to change this country because it will be desastraous to their mischieves and theft. Tanzanians are in Limbo. They need a liberator. History has demonstrated that, although Revolution and liberation starts from within, it must be awakened by public awareness forthe simple reason that the rulling class that enjoy the national cake will never do that. If you are true to yourself you will subsrcibe to the fact that, the biggest level of awareness that Tanzanians have, has been greatly contributed by the oppostion parties that have made bare the missconducts of the rulling class at the expence of the Taxpayers monies. The cry is one in Tanzania now is CHANGE. This cry is not in vain. CCM have refused adamantly and blatantly to hear this Cry. It will be at their deservice. And I want to submit this to you, without any fear of contradicting myself, that no one who can stop this movement for change that has been greatly initiated by CDM. The words of one of the most celebrated French political Philosopher Hugo Victor capture well the gist of my
Argument. And I paraphrase: "You can stop a coup detat, a military mutiny, but you can not stop the power of an idea whose time has Come"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…