CHADEMA wazomewa Mwanza


Huzomewa kila waendako, ila hao ni kinganganizi tu. Sasa wanajidai kutaka kuungana na vyama vingine kupambana na CCM. Hivi walipoombwa waungani katika bunge la upinzani si walikataa.

Eti walidhani kuwa na wabunge 26 ni deal sana, sasa wameshindwa, wakitoka wenzao wanaendelea kupiga bao tu. Sasa hawatoki tena maana wakitoka hata posho yao inapungua. Mshiko, mshiko, mshiko!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…