Kumbe alizomewa sababu aliwasifia maccm! Miccm bana hadi raha!
VIONGOZI wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana,
Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa
eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa
hadhara.
Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao kidogo, baada ya
Diwani wa Kata ya Buselesele wilayani Geita, aliyetajwa kwa jina moja la
Kagoma, kutumia muda mwingi wa hotuba yake kumfagilia Mbunge wa
Misungwi, Charles Kitwanga kwa kuchapa kazi za maendeleo na kupambana na
ubadhirifu kwenye halmashauri hiyo.
Hatua hiyo, ilionekana kuwakera wananchi waliotaka kujua mkutano huo
ulikuwa na lengo la kuwaeleza nini, kutokana na madai kuwa wamekuwa
wakifanya mikutano na kuishia kutoa lugha za matusi.
Dalili za kukosa watu katika mkutano huo, uliotakiwa uanze saa 9:00
alasiri, zilianza kuonekana wakati gari la matangazo na lile la M4C
lilipowasili kwenye kituo cha daladala cha Misasi kwa mbwembwe na
kujikuta wakizomewa na wapiga debe na baadhi ya wananchi waliokuwepo
maeneo hayo.
Akihutubia mkutano huo kwa kusoma alama za nyakati, Diwani Kagoma
aliishia kumfagilia Kitwanga Mawe Matatu, akidai kuwa anapambana na
ubadhirifu kwa sababu anataka wananchi wapate huduma bora za jamii,
lakini baadhi ya viongozi wa chama chake (CCM) wanampiga vita kwa sababu
ya maslahi yao binafsi.
jiandae kisaikolojia kwamba chama cha magamba kina chini ya miaka miwili kuwepo! ni chama mfu...hizo propaganda nyingine hazitakusaidiaVIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana, Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa hadhara.
Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao kidogo, baada ya Diwani wa Kata ya Buselesele wilayani Geita, aliyetajwa kwa jina moja la Kagoma, kutumia muda mwingi wa hotuba yake kumfagilia Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga kwa kuchapa kazi za maendeleo na kupambana na ubadhirifu kwenye halmashauri hiyo.
Hatua hiyo, ilionekana kuwakera wananchi waliotaka kujua mkutano huo ulikuwa na lengo la kuwaeleza nini, kutokana na madai kuwa wamekuwa wakifanya mikutano na kuishia kutoa lugha za matusi.
Dalili za kukosa watu katika mkutano huo, uliotakiwa uanze saa 9:00 alasiri, zilianza kuonekana wakati gari la matangazo na lile la M4C lilipowasili kwenye kituo cha daladala cha Misasi kwa mbwembwe na kujikuta wakizomewa na wapiga debe na baadhi ya wananchi waliokuwepo maeneo hayo.
Akihutubia mkutano huo kwa kusoma alama za nyakati, Diwani Kagoma aliishia kumfagilia Kitwanga "Mawe Matatu", akidai kuwa anapambana na ubadhirifu kwa sababu anataka wananchi wapate huduma bora za jamii, lakini baadhi ya viongozi wa chama chake (CCM) wanampiga vita kwa sababu ya maslahi yao binafsi.
mleta huu uzi ni mmbea,mini npo mwanza chadema huku ni noumaaaaaa
Dah umbeya mwingine ni shida sana yaani heading na content ya ndani ni tofauti sana yaani mkutano ulikuwa na watu wachache sana afu waliozomea ni akina nani? naona mahitaji ya tumbo lako ndo yamekufanya upost utumboVIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana, Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa hadhara.
Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao kidogo, baada ya Diwani wa Kata ya Buselesele wilayani Geita, aliyetajwa kwa jina moja la Kagoma, kutumia muda mwingi wa hotuba yake kumfagilia Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga kwa kuchapa kazi za maendeleo na kupambana na ubadhirifu kwenye halmashauri hiyo.
Hatua hiyo, ilionekana kuwakera wananchi waliotaka kujua mkutano huo ulikuwa na lengo la kuwaeleza nini, kutokana na madai kuwa wamekuwa wakifanya mikutano na kuishia kutoa lugha za matusi.
Dalili za kukosa watu katika mkutano huo, uliotakiwa uanze saa 9:00 alasiri, zilianza kuonekana wakati gari la matangazo na lile la M4C lilipowasili kwenye kituo cha daladala cha Misasi kwa mbwembwe na kujikuta wakizomewa na wapiga debe na baadhi ya wananchi waliokuwepo maeneo hayo.
Akihutubia mkutano huo kwa kusoma alama za nyakati, Diwani Kagoma aliishia kumfagilia Kitwanga Mawe Matatu, akidai kuwa anapambana na ubadhirifu kwa sababu anataka wananchi wapate huduma bora za jamii, lakini baadhi ya viongozi wa chama chake (CCM) wanampiga vita kwa sababu ya maslahi yao binafsi.
Na hiyo scarf alivalishwa na bibi kizeeCCM naona wamemchukua huyu balozi kwa "mkopo"
Magamba ya kike kwa carolite hayajambo
Hindee moniii -- hindeee monii eeee - pumba eee pumba; utakula pumbaa....
CCM yazomewa karibu kila kona nchi nzima hao wanaozomea Chadema ni CCM.
Hapo huyo bonge nyanya alikuwa anauachia wa kisailensaHindee moniii -- hindeee monii eeee - pumba eee pumba; utakula pumbaa....