CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

chadema halisi ndo sisi na dk.slaa, waliobaki wapika dili. CHADEMA imekuwa kama dodoki kufyonza uchafu unaotemwa CCM eti ndo majembe ajabu! wamebaki kizazi chanyoka waliokosa maalifa na kusifia uovu na waovu!
 
kakojoe then kalale
 
ungekuwa na mamlaka ya kutunuku Ph.D, ungemvua huyo mpiga dili wako tarehe 26 mwezi huu maana mnashindwa kwa aibu na tunamuomba magufuli asiwafumbie macho wala rushwa kama serikali ya wana mtandao walivyofanya akiwemo lowasa na mr.zero sumaye.
 
Haaa ccccm kweli mmechokaaa!*!...hali Ni tete asikwambie MTU.
 
ungekuwa na mamlaka ya kutunuku Ph.D, ungemvua huyo mpiga dili wako tarehe 26 mwezi huu maana mnashindwa kwa aibu na tunamuomba magufuli asiwafumbie macho wala rushwa kama serikali ya wana mtandao walivyofanya akiwemo lowasa na mr.zero sumaye.

Wewe mbwa mwitu tulia,ikulu inakabidhiwa kwa ukawa asbh na mapema tuu,magufuri kakata tamaa
 
Wee Ubora samahani inaonekana kuna kitu sio sawa kwako kifamilia,kimahusiano,kimalezi pia..yaani aiwezekani mwanadamu ukawa muongo kupitiliza maana unaanzisha uzi kila baada ya masaa kadhaa ,halafu zote ni uongo,udaku,umbea,unafki..badilika kuwa mkweli ndugu ,ukitaka kuwa muongo mzuri uwe bingwa wa kumbukumbu.sasa wewe rudia uzi zako uone mwenyewe ..badilika itakusaidia sana mbeleni katika maisha baada ya uchaguzi.good night
 
Mlisha tudanganya sana.ari mpya na nguvu mpya. Mkajana na maisha bora na sasa hapa kazi tu.

Nenden mkahifanyie uko iyo Kaz tu yenu ya kutaka kutuibia.

Huu mwaka ni LOWASSA TU.....
 
watu wengi wamegeuza kampeni za uchaguzi ndo miradi ya kujingizia kipato kijana wenzangu msiyumbishe na malofa wasio kuwa kwenye ubora wao awatazami mbele na nyema pote ni mizigo wanakuwa vibaraka tu kwa tamaa zao binafsi ....# akuna rafiki wala mkweli kwenye siasa wala hadui wakudumu usikubari kuyumbishwA hapa ni mwendo wa mabadiliko tu.
 
Aiseeee! Unalipwa vizuri lakini kwa hizi proganda!? Inabidi uwe unapata angalau glasi ya maziwa.
 
Viva viva makamanda

Pamoja sana Makamanda

Tupooo pamoja kamandaaaa

Dr Slaa tupo nawe.

Viva viva Wazalendo, makamanda katika hili hatutaki kurudi nyuma,msimamo wetu ni kuwa na Dr Slaa tu, hoja zake zipo ok.

Vivaaa makamanda, Magufuli kwa mabadiliko ya ukweli.

Chadema bila Dr Slaa ni shidaaaaa

Ukiwa kwaheri ya kuonana

Kumbe unajua kuna chadema wazalendo!!

Hapa kazi tu ushindi niwetu

This is pure comedy!! Why don't you guys start a comedy group!
 
Tupo pamoja makamanda katika kumuunga mkono mpambanaji wetu Dr Slaa.

Viva viva makamanda

Viva viva Wazalendo, makamanda katika hili hatutaki kurudi nyuma,msimamo wetu ni kuwa na Dr Slaa tu, hoja zake zipo ok.

Tunakujua wewe ni FU, sisi ni WAZALENDO WA UKWELI

ACT WAZALENDO mnajitahidi kufanya kazi mliotumwa na mabwana zenu CCM,bomoa CHADEMA.Lakini hapa hamtaweza. Nawahakikishieni ngoma nzito. Mtahangaika sana.
 
chadema halisi ndo sisi na dk.slaa, waliobaki wapika dili. CHADEMA imekuwa kama dodoki kufyonza uchafu unaotemwa CCM eti ndo majembe ajabu! wamebaki kizazi chanyoka waliokosa maalifa na kusifia uovu na waovu!
Lini umetoka ccm??
 
Mkuu nakuunga mkono. Mbowe is a political genious. Ma-genious hawahitaji kwenda shule kuelewa mambo. Akili zao ni zile za kuzaliwa. VIVA MBOWE, VIVA CHADEMA, VIVA UKAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…