upo sehemu gani hapa lumumba nikununulie chakula kabla hujaenda kwa Nape kudai ujira wako kwa thread yako hii?Katika matokeo ya Madiwani yaliyokuwa yanasubiliwa na wengi yameonyesha kuwa bado CCM ni Chama ambacho bado kinakubalika kwa wengi, licha ya majigambo mengi kwa viongozi wa chadema kabla ya uchaguzi kuwa chadema watashinda kwa kishindo. CCM Kata 23 Chadema Kata 05 TLP Kata 01, wasiojua hesabu wataFIKILI Chadema wamepanda kumbe ni hesabu za kizamani, hivi kobe kwa mwendo wake anaweza kushindana mwendo kasi na Gari? Ndivyo Chadema watakavyo jipongeza. Hebu tuhoji matumizi ya fedha makubwa kwenye kampeni na matokeo haya uwiano upo kweli?.
Tafakari kisha ungana kujenge Nchi siyo kuibomoa
Katika matokeo ya Madiwani yaliyokuwa yanasubiliwa na wengi yameonyesha kuwa bado CCM ni Chama ambacho bado kinakubalika kwa wengi, licha ya majigambo mengi kwa viongozi wa chadema kabla ya uchaguzi kuwa chadema watashinda kwa kishindo. CCM Kata 23 Chadema Kata 05 TLP Kata 01, wasiojua hesabu wataFIKILI Chadema wamepanda kumbe ni hesabu za kizamani, hivi kobe kwa mwendo wake anaweza kushindana mwendo kasi na Gari? Ndivyo Chadema watakavyo jipongeza. Hebu tuhoji matumizi ya fedha makubwa kwenye kampeni na matokeo haya uwiano upo kweli?.
Tafakari kisha ungana kujenge Nchi siyo kuibomoa
upo sehemu gani hapa lumumba nikununulie chakula kabla hujaenda kwa Nape kudai ujira wako kwa thread yako hii?
Takwimu tena za nini wakati umeshaambiwa CCM 23, CDM 5, TLP 1. Au ndo kusema haujaamini macho yako? wengine tunajua CCM ni noma wao si wakuongea majukwaani vitendo tu.Tukipata takwimu kwa kila kata ya uchaguzi itakuwa nzuri zaidi.
usimlaumu bana, amechanganyikiwa baada ya kupata kipigo cha mbwa kichaaKwani alichosema hapo nacho kinahitaji siasa wakati ni ukweli mtupu.
Mtaji wa ccm ni umbumbu na ujinga wa watanzania na si vinginevyo.Takwimu tena za nini wakati umeshaambiwa CCM 23, CDM 5, TLP 1. Au ndo kusema haujaamini macho yako? wengine tunajua CCM ni noma wao si wakuongea majukwaani vitendo tu.
Mtaji wa ccm ni umbumbu na ujinga wa watanzania na si vinginevyo.
Mtaji wa ccm ni umbumbu na ujinga wa watanzania na si vinginevyo.