Nchi hii mambo yanaendeshwa kiuchaguzi chaguzi.watu wanaota uchaguzi 2020!
Hivi hiyo hesabu ya ruzuku zao umeshipigiwa ukaona zinavyoliwa na Mwenyekiti wao!!?Kwani 2010 walitoa wapi?
Je vyama havina ruzuku?
Ccm wao hawachangiwagi?
Hivi hiyo hesabu ya ruzuku zao umeshipigiwa ukaona zinavyoliwa na Mwenyekiti wao!!?
2015 ulikuwa Uchaguzi mzuri kwa chadema kwa kuwa walipokea ujio uliokuja na hela ndefu, Lowasa na maswahiba wake kama Rostam Aziz, law firms zilizomteua Tundu lisu kuwa Mkuu wa TLS, Makampuni ya kifisadi n.k.!
Sasa 2020 hawa watu hawawezi kukubali tena kutoa fedha kwani kwani kama ni fadhila kwa Lowasa kwa mazuri aliyowatendea walishalipa 2015 na ushindi walioahidiwa haukupatikana, hivyo chadema watatoa wapi fedha za ,,Mafuriko" 2020?
Kila mtu anahaki sawa ya kutoa maoni, na si lazima wewe ukubaliane na maoni ya mtu mwingine ! Ukweli ukikuuma vumilia tu!Huyu mtoa mada siyo binadamu; moderators hamtendei wadau wa jukwaa hili haki pamoja makampuni yanayoleta matangazo yao humu kwa kuacha mada kama hizi.
watatengeneza escrow nyingine ww subiri,omba usiitwe na bwana.Barbarosa kwani CCM wao hela watapata wapi?