Hayo maneno yako au kuna sehemu unaigilizia huo umeme uko wapi wewe una data kweli?unajua Tanzania asilimia ngapi wana umeme?Hizo hospitali mwananyamala wamama wajawazito wasinge lala 2 kwenye kitanda.Au mwenzangu unajifanya kwenu masaki unatibiwa Trauma kule kwa dollar?Siku nyingine jiangalie kabla hujaandika wewe?Tunajua kuwa probably wewe ni kipofu, yaani huoni lami? huoni umeme? huoni shule za msingi na sekondari? huoni vyuo vikuu? huoni hospitali, zahanati? huoni maji?
Mfadhili mbuzi!
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha

ACT ni nyumba ndogo ya CCMKwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha
Hivi billicanas ni danguro?serikali inatoza kodi madanguro?.Unachokitetea hapa ni kitu cha ajabu sana kwamba watawala wapige fedha za uma halafu wananchi wajiletee maendeleo kwa kujitolea kama kiasi kinachiibwa na watawala ni kikubwa kiasi hiki kuna haja gani ya kujitolea? Halafu watu unaotaka wajitolee ndiyo haohao underpaid, mwl analipwa 28000/= kwa mwezi, mbunge 350000/= kwa siku na bado mbunge anathubutu kusema hazimtoshi.unataka wakashinde wanajenga barabara huo muda wa kufundisha na kupumzika utapatikana? kabla ya kutaka wananchi wajitolee keki ya taifa igawanywe vizuri, halafu hilo la kujitolea linaweza kufuata.Unajua chama kikiongozwa na muuza danguro usitegemee kuwa kitahamasisha maendeleo. Nchi ikiwa maskini ni mtaji kwake kwa vile idadi ya machangudoa itaongezeka ambao ndo mtaji wa biashara yake
mochware = Mortuary, kimsingi wanao dumaza nchi ni ccm ambao wanatumia sehemu kubwa ya kodi za wananchi kwa kuziiba ,ie epa,richmond,escrow,rada. Na sterehe zao eg bajeti kubwa ya matumizi ya kawaida badala ya maendeleo,miposho ya ajabu ya vikao na warsha,makongamano na uhuni mwingine design hiyo.Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha