Mkuu ninachojaribu kukisema hapa kinaweza kuwa kweli katika malalamiko yatakayotolewa hili la Daftari lisiwepo kwani tayari imeshaonekana mapungufu.Mimi sijatumwa haya ni mawazo yangu na siwatafutii Magamba unafuu wowote ule ila ukweli ndiyo huoMkuu isijekuwa umetumwa! usiwatafutie CCM njia rahisi ya kushinda uchaguzi kwa ushauri wako huo!. Najua uwanja wa mapambano hauko level lakini wacha CHADEMA wapambane hivyo hivyo kuliko kususa. Kwani mpaka hapo tulipo CCM wako hoi.
Mkuu ninachojaribu kukisema hapa kinaweza kuwa kweli katika malalamiko yatakayotolewa hili la Daftari lisiwepo kwani tayari imeshaonekana mapungufu.Mimi sijatumwa haya ni mawazo yangu na siwatafutii Magamba unafuu wowote ule ila ukweli ndiyo huo