Ndo maana yake,Siasa na Elimu havitengamani.Soon hata timu za michezo zitaanza kusajili kwa itikadi za vyama,MPAKA KIELEWEKE!!kwani siku hizi vyama vya siasa vimeruhusiwa kuweka wagombea kwenye serikali ya wanafunzi?utamfanya atakae shinda aonekane na itikadi za siasa hivyo kumpa wakati mgumu kwenye kuongoza wakati si lazima iwe kweli ni chadema.
Nawashangaa hawa wanafunzi badala ya kufuata kilichowapeleka shule wanakimbilia siasa!
umenifurahsha sana,Endelea kushangaa mpaka utakapobahatika kutia mguu kwenye taasisi ya elimu ya juu kama DUCE.
Hilo lipo siku nyingi sana mkuu. Katika kumbukumbu zangu za kusoma UDSM tangu mwaka wa kwanza hadi wa nne, nimekuwa nikishuhudia kitu cha namna hiyo. Kila mgombea huwa ana chama ambacho kinamback up. Kwa mfano wagombea wa CCM pale UDSM siku hizo walikuwa wanapata support ya Riz1 plus some ministers ambao walikuwa hawaoni shida kuja chuo na kupiga blabla za kumuwezesha mtu wao kushinda. Wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais wa chuo, tulikuwa tunakunywa pombe kwa sana tu. Hizo hela za kunywea zilikuwa zinaletwa na vyama.kwani siku hizi vyama vya siasa vimeruhusiwa kuweka wagombea kwenye serikali ya wanafunzi?
utamfanya atakae shinda aonekane na itikadi za siasa hivyo kumpa wakati mgumu kwenye kuongoza wakati si lazima iwe kweli ni chadema.
Unashangaa vibaya mpaka mdomo unataka kukudondokaNawashangaa hawa wanafunzi badala ya kufuata kilichowapeleka shule wanakimbilia siasa!
last mnth huko UDOM ilikuwa ni baina ya CDM NA MAGAMBA, UKRISTO NA UISLAM! Cjui inajengwa jumuiya gani za wasomi zilizobobea ktk ethnism? Mungu irehem nch hii.Kulikuwa na uchaguzi wa wanafunzi leo.kama kawaida ccm wakisaidiwa na waziri wa mazingira dr.uvisa aliyekuwa dean of students hapa waliweka na kusimamia mgombea mmojawapo nd chacha nyanchoka.upande wa chadema walimsimamisha nd msafiri kidunye.matokeo ya awali vituo vyote msafiri kaongoza kwa mbali.ila matokeo hayajatangazwa rasmi.wanafunzi wapo square wanaimba wakisubiri matokeo.njama zote za kuiba zimekwama.ila hatujajua kwani kunauzito na magamba hawaaminiki.
thats true.yametokea udom last mth km c wa magamba unaenguliwa ktk ngazi ya usaili ila chamoto wataendelea kukiona hao wana magamba!kila kitu kinachoendelea katika maisha ya mwanadam ya kila siku ni sehemu ya siasa! Ccm baada ya kuona mtaji wa chadema ni vijana wakaamua kuanzisha matawi ya ccm katika vyuo na kuanza kutumia kampeni chafu ya pesa ili kupandikiza viongozi katika serikali za wanafunzi katika taasisi zote za elimu ya juu ili kuzuia migomo pindi inapotaka kutokea. Viongozi wakiwa hawako katika mlengo wa ccm ni vyepesi kuanzisha migomo hasa pale inapoonekana matatizo yao yamewekwa kapuni na utawala wa chuo. Chadema nao wakaamua kuwajibu hivyo karibu chaguzi zote za vyuo vya elimu ya juu kuna sarakasi kubwa ya kuhahakikisha moja ya vyama hivi kinachukua madaraka. Sera ya chadema ni kutumia maandamano katika kudai haki hasa pale inapoonekana kuporwa na watawala. Huku sera kuu ya ccm ni kuhakikisha inapunguza kelele za wasomi kwa kuwanyima haki zao na kuiacha serikali ipumue na iwe relaxed.
aisee... Tunahitaji kupanua fikra za vijana... Vyama vya siasa hadi vyuoni!.. Sidhani kama kitu hiki ni cha kujivunia hata kidogo... Ccm walikosea kuweka mgombea na kutangaza kwamba anatoka ccm na cdm nao wamekosea vilevile kusimamisha mgombea...
hahahahaha... walimu wetu watarajiwa! kumbe na ualimu siku hizi ni wakujivunia? kwanza wanaoenda DUCE ni wale waliokuwa na poor result form sixEndelea kushangaa mpaka utakapobahatika kutia mguu kwenye taasisi ya elimu ya juu kama DUCE.
Unashangaa vibaya mpaka mdomo unataka kukudondoka
kwani siku hizi vyama vya siasa vimeruhusiwa kuweka wagombea kwenye serikali ya wanafunzi?
utamfanya atakae shinda aonekane na itikadi za siasa hivyo kumpa wakati mgumu kwenye kuongoza wakati si lazima iwe kweli ni chadema.
hahahahaha... walimu wetu watarajiwa! kumbe na ualimu siku hizi ni wakujivunia? kwanza wanaoenda DUCE ni wale waliokuwa na poor result form six[/QUOTE]
kazi ipo. Haya bwana Mkubwa