CHADEMA wanashangilia ushindi. CCM wanatafuta kura

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,253
Hili limejidhuhirisha jana kupitia taarifa ya habari ITV (saa tano usiku). Habari ya chadema ilikuwa mwisho kabisa kwa habari za kitaifa, na ya ccm ya pili toka mwisho. Nilipowatazama vigogo wa CCM tangu wanarusha mkutano wao kupitia star tv, kuanzia mzee Sif Idd, Mzee Mwinyi, hadi Magufuli, nyuso zao zimejaa hofu na sintofahamu nyingi. Wamejawa hasira.

Hata Kikwete leo kila aendako na anapoongea unamwona kabisa ana hasira. CCM pale mnazi mmoja Zanzibar walijazana sana na viongozi wao walikuwa wakiongea kwa msisitizo, ghadhabu, hofu, vitisho na sintofahamu nyingi. Hata Magufuli zile mbwembwe zake za pushapu na kadhalika zimepotea. Roho ya CCM iko mikononi mwa Magufuli na si mtu mwingine. Magufuli amechoka sana maana wote wanamtazama yeye.

Kwa upande mwingine kama ningekuwa sioni ningalijua kuwa ccm ndio wanaowania kukiondoa chama tawala madarakani. Wagombea hasa madiwani na wabunge wa ccm wanalia sana juu ya huduma mbovu kwa jamii, na kumuomba Magufuli akiingia aboreshe hayo yote. Wanamwonea Magufuli. Waharibu wengine asafishe Magufuli.

UKAWA kwao ni sherehe. Nilivyotazama jana mkutano wao wa mwisho Mwanza ilikuwa ni SAWAZISHA. Yani kwa kiburi cha chombo cha habari hata sikusikia hotuba bali ni watu wakiserebuka tu. Mbowe akiendelea kutoa maelekezo ya namna ya upigaji kura, Lowassa akicheza dansi, huku wananchi ndio wakionekana waongeaji na watoa maoni. Sasa UKAWA wanaelekea Mbeya kuweka mfuniko wa zege juu ya kaburi.

Mfuniko unaobebwa na wananchi na sio tingatinga. Ni utimilifu wa nyakati tu na hakuna lugha nyingine. Ni ngumu kuzuia kifo. Ni ngumu pia kuzuia mafuriko kwa mikono.

Pia kwa wale wagombea na wanasiasa wote waliotangulia mbele ya haki katika kipindi hiki wakiwa mstari wa mbele, bila kujali itikadi ya vyama vyao. Nawaombea kila la heri huko waendako. Mungu na awape stahili yao, Amina.
 
Ushindi ni kupigana mpaka dakika ya mwisho.
Iwe mechi kubwa au ndogo ccm hawapuuzii.
Tupo serious kutafuta kura mpaka ushindi upatikane
 
ushindi ni kupigana mpaka dakika ya mwisho.
Iwe mechi kubwa au ndogo ccm hawapuuzii.
Tupo serious kutafuta kura mpaka ushindi upatikane

...mbinu za kumalizia mhezo zinatofautina hasa daka z mwisho na unapokuwa na uhakika tayari, so tunachezea mpira kama tunavyotaka mpaka dk 90 wakalale...
 
Kwa kweli Lowassa jana alikuwa na bashasha na raha sana kicheko kikubwa kwa raha zake amesakata rumba vya kutosha wanachi wakikoleza furaha yao ya ushindi kwa kweli mwaka huu CCM bye bye
 
Hili limejidhuhirisha jana kupitia taarifa ya habari ITV. Habari ya chadema ilikuwa mwisho kabisa kwa habari za kitaifa, na ya ccm ya pili toka mwisho. Nilipowatazama vigogo wa CCM tangu wanarusha mkutano wao kupitia star tv, kuanzia mzee Sif Idd, Mzee Mwinyi, hadi Magufuli, nyuso zao zimejaa hofu na sintofahamu nyingi. Wamejawa hasira.

Hata Kikwete leo kila aendako na anapoongea unamwona kabisa ana hasira. CCM pale mnazi mmoja Zanzibar walijazana sana na viongozi wao walikuwa wakiongea kwa msisitizo, ghadhabu, hofu, vitisho na sintofahamu nyingi. Hata Magufuli zile mbwembwe zake za pushapu na kadhalika zimepotea. Roho ya CCM iko mikononi mwa Magufuli na si mtu mwingine. Magufuli amechoka sana maana wote wanamtazama yeye.

Kwa upande mwingine kama ningekuwa sioni ningalijua kuwa ccm ndio wanaowania kukiondoa chama tawala madarakani. Wagombea hasa madiwani na wabunge wa ccm wanalia sana juu ya huduma mbovu kwa jamii, na kumuomba Magufuli akiingia aboreshe hayo yote. Wanamwonea Magufuli. Waharibu wengine asafishe Magufuli.

UKAWA kwao ni sherehe. Nilivyotazama jana mkutano wao wa mwisho Mwanza ilikuwa ni SAWAZISHA. Yani kwa kiburi cha chombo cha habari hata sikusikia hotuba bali ni watu wakiserebuka tu. Mbowe akiendelea kutoa maelekezo ya namna ya upigaji kura, Lowassa akicheza dansi, huku wananchi ndio wakionekana waongeaji na watoa maoni. Sasa UKAWA wanaelekea Mbeya kuweka mfuniko wa zege juu ya kaburi.

Mfuniko unaobebwa na wananchi na sio tingatinga. Ni utimilifu wa nyakati tu na hakuna lugha nyingine. Ni ngumu kuzuia kifo. Ni ngumu pia kuzuia mafuriko kwa mikono.

Pia kwa wale wagombea na wanasiasa wote waliotangulia mbele ya haki katika kipindi hiki wakiwa mstari wa mbele, bila kujali itikadi ya vyama vyao. Nawaombea kila la heri huko waendako. Mungu na awape stahili yao, Amina.

Watu kama nyie ndo nawanunuliaga KINANA Baridiiiii asubuhi asubuhi...............thread imenikosha sana hii....mzee Mwenzangu
 
Mimi ninachoona ni CCM wanaendelea kuwafikia watanzania huku UKIWA wakilalamika kuibiwa kura!
 
Lowassa na wengineo wanajua hesabu vizur ashaona matokeo kw macho yake anasubiri ushindi wa karatas.pia magufur nae kaona,wote wamezunguka. sis tutatetea vyama vyetu ila wao wanaujua ukweli na nani ni pump kuliko mwingine, wanajua wapi hawakubaliki na wapi wanakubalika wanahesabu kali sio km za ushabiki maandaz hapa dalili c njema kw chama tawala,vikao vinasema haya.
 
Anaesherehekea mavuno kabla ya kulima, na anaelima kwa kuhofu ya njaa.........

Hili limejidhuhirisha jana kupitia taarifa ya habari ITV. Habari ya chadema ilikuwa mwisho kabisa kwa habari za kitaifa, na ya ccm ya pili toka mwisho. Nilipowatazama vigogo wa CCM tangu wanarusha mkutano wao kupitia star tv, kuanzia mzee Sif Idd, Mzee Mwinyi, hadi Magufuli, nyuso zao zimejaa hofu na sintofahamu nyingi. Wamejawa hasira.

Hata Kikwete leo kila aendako na anapoongea unamwona kabisa ana hasira. CCM pale mnazi mmoja Zanzibar walijazana sana na viongozi wao walikuwa wakiongea kwa msisitizo, ghadhabu, hofu, vitisho na sintofahamu nyingi. Hata Magufuli zile mbwembwe zake za pushapu na kadhalika zimepotea. Roho ya CCM iko mikononi mwa Magufuli na si mtu mwingine. Magufuli amechoka sana maana wote wanamtazama yeye.

Kwa upande mwingine kama ningekuwa sioni ningalijua kuwa ccm ndio wanaowania kukiondoa chama tawala madarakani. Wagombea hasa madiwani na wabunge wa ccm wanalia sana juu ya huduma mbovu kwa jamii, na kumuomba Magufuli akiingia aboreshe hayo yote. Wanamwonea Magufuli. Waharibu wengine asafishe Magufuli.

UKAWA kwao ni sherehe. Nilivyotazama jana mkutano wao wa mwisho Mwanza ilikuwa ni SAWAZISHA. Yani kwa kiburi cha chombo cha habari hata sikusikia hotuba bali ni watu wakiserebuka tu. Mbowe akiendelea kutoa maelekezo ya namna ya upigaji kura, Lowassa akicheza dansi, huku wananchi ndio wakionekana waongeaji na watoa maoni. Sasa UKAWA wanaelekea Mbeya kuweka mfuniko wa zege juu ya kaburi.

Mfuniko unaobebwa na wananchi na sio tingatinga. Ni utimilifu wa nyakati tu na hakuna lugha nyingine. Ni ngumu kuzuia kifo. Ni ngumu pia kuzuia mafuriko kwa mikono.

Pia kwa wale wagombea na wanasiasa wote waliotangulia mbele ya haki katika kipindi hiki wakiwa mstari wa mbele, bila kujali itikadi ya vyama vyao. Nawaombea kila la heri huko waendako. Mungu na awape stahili yao, Amina.
 
Kwa kweli Lowassa jana alikuwa na bashasha na raha sana kicheko kikubwa kwa raha zake amesakata rumba vya kutosha wanachi wakikoleza furaha yao ya ushindi kwa kweli mwaka huu CCM bye bye
mkuu ilikuwa ni rahaaaaaaa raisi akiserebuka jukwaani akimkebehi anaebadilisha majukwa kuwa GIM,pembeni yake akiwa engineer mkuu babu kingunge akijaa tabasamu na bashasha, Mungu atusaidie tufike tarehe 25 tupindue meli CCM na watu wake.
 
Ushindi ni kupigana mpaka dakika ya mwisho.
Iwe mechi kubwa au ndogo ccm hawapuuzii.
Tupo serious kutafuta kura mpaka ushindi upatikane
Hali ni mbaya sana huko. Mkubali tu. Hata ccm ikitokea ikashinda kwa namna yoyote, somo wamelipata.
 
Back
Top Bottom