who is the duty bearer? Is it cdm or the govt of ccm?
The right holders are the tz communities the role of cdm is not to provide the services/rights to tz communities but to hold the duty bearers accountable to tz communities' rights.
And their shadow finance minister is trying to sell NBC and Airtel shares,to lower fuel prices.....that really pissed me off!!...why the hell you drive a hummer in a non oil producing third world contry like tanganyika?
They already called me all kinds of names.....Be careful with this comment. His bootlickers will pounce on you with all sorts of names. They won't discuss the issue because that will deny them opportunity to expose their naivety!
Hivi CHADEMA hawawezi kuzungumza kuhusu mustakabali wa tanzania bila
kuzungumzia CCM kwa jazba?.
Assuming mimi ni mende kama unavyodai, how does that change the reasoning? It only confirms that there is nothing between your ears!
The Boss,
Nashukuru umetamka kuwa Chadema imeku dissappoint.
i)Ni heri mara million Chadema "iku dissappoint" wewe mtu mmoja au na kundi lako, kama dissappointment inatokana na hoja ulizotaja lakini mamillioni ya Watanzania wakafurahia ukweli, na uwazi kuhusu mustakabali wa nchi yao.
ii) Ni heri mara millioni ukawa dissappointed "wewe", lakini rasilimali za watanzania zikaokolewa na "kelele" za Chadema na watanzania na watoto na wajukuu zao kunufaika kuliko wachache na kundi lao la mafisadi kunufaika.
iii) Ni heri mara millioni "wewe" ukawa dissapointed, lakini "wanafiki wa nchi hii wakavuliwa nguo hadharani ili kujenga taifa lenye maadili na uadilifu.
iv) Hapa niliko niko vijijini, Wananchi wa Njombe, Njombe mjini na vijijini (ambako tulikuwa leo asubuhi) wanaendelea kusherehekea, utadhani uhuru ndio umepatikana leo. Sijui hoja zako zinamwakilisha nani na au unampigia debe nani na kwa manufaa ya nani? Unahitaji kujitafakari nafsi yako na ya familia yako.
Dk W.Slaa
Kwanza pole kwa maandamano Mkuu, kuna mgongano kuhusu mshahara wako pamoja na marupurupu yako ebu tuweke sawa Mkuu
Me nashangaa sana huu utamaduni wa watanzania kutokupenda kukosolewa au kuambiwa ukweli pale inapobidi. Naiona hii hali hata humu ndani JF Kila mtu akipost mada ya kuikosoa CHADEMA basi atatukanwa na kuitwa mtoto wa mafisadi.
People inabidi mjifunze kudigest different ideas. Inabidi tujenge utamaduni wa kukubali kutokubaliana. JUST BECAUSE NAIKOSOA CHADEMA IT DOESNT MEAN MIMI NI CCM, I CAN BE INDEPENDENT.
Katika chaguzi nyingi duniani wanaoamua mshindi ni watu kama mimi because sina chama so i can vote to chama chochote ambacho kina sera nzuri. Tofauti na watu ambao wenyewe ni wapenzi wa vyama, hata vyama vyao vikifanya madudu wanavipigia kura tu.
MAPENZI HULETA UPOFU, I dont support CCM 4 any mean kwani najua 80% ya matatizo yanayolikabili taifa letu yamesababishwa nao, na kama wangekuwa na gut wangeweza kuyamaliza yote.
The same time siwez tu kuisuport CHADEMA sababu tu ni chama cha upinzani kikuu wakati kuna madudu kibao nawaona wakifanya.
CHADEMA INABIDI WABADILIKE, UMAARUFU WAO UMEKUJA GHAFLA MNO AND THATS BAD, inabidi wafanye reform kubwa sana katika utawala na kurecruit watu.
ASIKWAMBIE MTU VINGINE, UKWELI NI KUWA NGUVU YA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA INAANZIA KWENYE MATAWI YA NYUMBA KUMI KUMI. HUKO NDIO KWA KUINVEST NA KUMWAGA MAPESA, NA SIO MAANDAMANO NA MIKUTANO ISIYO NA TIJA.
CHADEMA wafukuzeni CCM kimya kimya bila makelele kwa kukijenga chama katika nyumba kumi kumi.
Msinitukane wazee ni maoni tu.
Hii ni budget season!!!....mkulo ashatoa draft yake like 2months ago,zitto katoa yake like a week ago,wana jf bado tupo kwenye malumbano ya nani muhuni na nani mstaarabu.Hivi tunajua tunachokiface?.....Cdm now is like NCCR in the late 90s but on steroids!
That is completely a wrong approach coz siyo kila wakati unaweza kujibu kila tuhuma inayokuja kwako na hiyo tafsiri yako kwamba kila ukikaa kimya basi unakiri ni potofu. Watu wanaoamini kwamba JK anahusika na ufisadi kwa sababu tu hakujibu hoja au matamko ya jukwaani na ambayo ni ya kutunga na matokeo ya conspiracy kati ya mafisadi na baadhi ya mawakala wao.
Kama CDM wanadhani wataweza kujibu kila hoja, tunawatakia kila la heri na tunasubiri kuona watakachokuwa wamevuna baada ya muda wa malumbano na hatutaki kusikia wakilalamika, na wewe advisor wao usiwakimbie baadae.
The Boss,
Nashukuru umetamka kuwa Chadema imeku dissappoint.
i)Ni heri mara million Chadema "iku dissappoint" wewe mtu mmoja au na kundi lako, kama dissappointment inatokana na hoja ulizotaja lakini mamillioni ya Watanzania wakafurahia ukweli, na uwazi kuhusu mustakabali wa nchi yao.
ii) Ni heri mara millioni ukawa dissappointed "wewe", lakini rasilimali za watanzania zikaokolewa na "kelele" za Chadema na watanzania na watoto na
wajukuu zao kunufaika kuliko wachache na kundi lao la mafisadi kunufaika.
iii) Ni heri mara millioni "wewe" ukawa dissapointed, lakini "wanafiki wa nchi hii wakavuliwa nguo hadharani ili kujenga taifa lenye maadili na uadilifu.
iv) Hapa niliko niko vijijini, Wananchi wa Njombe, Njombe mjini na vijijini (ambako tulikuwa leo asubuhi) wanaendelea kusherehekea, utadhani uhuru ndio umepatikana leo. Sijui hoja zako zinamwakilisha nani na au unampigia debe nani na kwa manufaa ya nani? Unahitaji kujitafakari nafsi yako na ya familia yako.
And that is all we demand that it be done. These guys have drifted from this duty to bickering that is unnecessary and of no significance to the common mwananchi. There are serious resource allocation issues, expenditure priorities and all forms of mismanagement which need to be addressed urgently. Unfortunately, those who are entrusted with this noble responsibility are busy discussing whether it was appropriate for the ruling party to appoint its spokesman while he had defected to another political party, as if this debate would lower pump prices or food prices! It is a pity!