Ukiwa kichwa panzi unategemea nini??
Lazima usahau kila kitu na kuanza kuhubiri ya jana.!!
Hivi chadema ndo nini, mnikumbushe jamani huku kusahausahau nahisi nimesahau, kama nakumbuka marehemu alikuwa maarufu sana, aliugua tokea 2015 na akagoma kunywa dawa sasa nahisi alishakufa ila mazishi yanaandaliwa possibly atazikwa 2020. Mnisahihishe maka nimesahau tena.
HAKUWA Wa kuwatukana mnajitukana wenyewe nani kuzuia Siasa, mikutano ? Ni CUF?
Cdm haipo.wapo wananchi zaidi 55% wangependa mbadala. Whatever comes in will fithahahah
mkuu unataka kusemaje?