sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Ni wazi kwamba CHADEMA wamepwaya sana kisera, kifikra, hali inayotishia kufutika kwa upinzani nchini. Wakati Sumaye anahamia CHADEMA alisema anaenda kuongeza nguvu ila bado kumepoa na kupwaya sana.
Vijana wa UVCCM tujitokeze tukaimarishe upinzani kwani unaweza ukafutika automatically. Wamepoa sana sijui ni homa ya uchaguzi uliopita ama nguvu zimewaishia. Asante
Vijana wa UVCCM tujitokeze tukaimarishe upinzani kwani unaweza ukafutika automatically. Wamepoa sana sijui ni homa ya uchaguzi uliopita ama nguvu zimewaishia. Asante