CHADEMA "wamtosa" Zitto

Mkuu umepotea maboya,ACT sio Chadema wala Chadema sio ACT.
Pili Chadema inajitoshereza yenyewe haitaki mapenzi ya kuunga unga pasipo sababu za msingi.
Chadema kina historia ndefu hadi kilipofikia hapa,wakati mwingine hakiitaji msaaada ili kutimiza malengo yake.
Ndio maanake CCM hawalali wakisikia hata kada wa kawaida wa Chadema kakoa watatumia nguvu za kipolisi na jela kumdhibiti.Ni waoga sana kuliko desturi ya tawala za Kidemokrasia.
 
Kuna ile marufuku ya takwimu, kama Zito anazua takwimu za uongo, kwa nini asikamatwe? Mtamshambilia sana bila data itakula kwenu
 
Kwahiyo hakuna ushirikiano miongoni mwa upinzani?
 
Kwahiyo hakuna ushirikiano miongoni mwa upinzani?
Wewe mbona unataka uwapangie namna ya kufanya siasa zao ?!. Tulia hapo ulipoolewa, ridhika na nyumba ya kijani.

Otherwise kuna kitu ulikiacha ulipoondoka huko.
 
Ataamuungaje mkono zitto wakati ana kinyongo alitaka seif aende chadema akamtosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…