CHADEMA wamemsaidia Rais Samia?

Sto
Story za kwenye vitabu kijana, tunapingana na hiyo system Yako alafu unataka tukaibembeleze

Kwa hiyo system Yako ilipoharibu uchaguzi ilikuwa sawa?

Je system ilikuwa wapi wakati ule watu wanatekwa wanalawitiwa, wanauwawa na kubambikiwa kesi?

Rudi shule kijana ukajifunze nini maana ya kudai haki na Uhuru ulioporwa na wachache
 
Hakuna kitu ' System' bongo bali Ni kikundi cha wahuni wabakaji watesi malaya nk
Wanaposhindwa upinzani hamna siri kila mtu msemaji mnajieleza sana hapo ndipo mnakosea ndio maana watesi wanawakamata kirahisi. Kila siku press conference za nini?
Enendeni kwa hekima busara na usiri mwingi... fanyeni underground movement... Tumieni social media kutuma jumbe sio kusimanga... muwe na agenda muhimu sio habari za kusikika
Focus kwenye
Kesi ya Mwenyekiti
Miamala
Uchumi
Muwaongoze wananchi na swala la Katiba & Tume Huru
Ajira
Elimu
Afya
Infrastructure

Kugombana hakusaidii
 
At least wewe umekuwa mkweli. Hii ndio siasa aka siasa tumbo.

Ndio maana hata wananchi wameshtuka wamekaa pembeni.

Kelele nyingiii ili muitwe mkae mezani mtafune pamoja.

Sasa hivi ni jino kwa jino, kama unadhani una weza battle pambana.
 
Nadhani hao System wakiona nyuzi kama hii basi huwa wanacheka!Vitu vingi hata kama hawahusiki basi wanasingiziwa wao maana hawawezi kukanusha wala kukubali!
 
Mkuu kuna watu watakuja hapa watakuambia hakuna kitu kinaitwa THE SYSTEM
System ipo.
Marekani huwezi kuwa Rais kama huta support Israel.
That is the system.

Tanzania ,moja ya system ni Muungano wa serikali mbili.
Marehemu maalim Seif angekuwa ana support muungano wa serikali mbili basi angepewa nchi.
Vyama vya upinzani kama vitasupport muungano wa serikali mbili basi hakuna ugomvi.
Katiba mpya inataka serikali tatu. haitopita ngo!!!
 
Hawa wamekuwa obsessed na madaraka zaidi kiasi chakulinda hata maslahi ya taifa. Watu hatari sana hawa, hawafai kwa jua wala kwa mvua.
 
At least wewe umekuwa mkweli. Hii ndio siasa aka siasa tumbo.

Ndio maana hata wananchi wameshtuka wamekaa pembeni.

Kelele nyingiii ili muitwe mkae mezani mtafune pamoja.

Sasa hivi ni jino kwa jino, kama unadhani una weza battle pambana.

Kenya wanaita 'politics of the stomach'
 
Hawa wamekuwa obsessed na madaraka zaidi kiasi chakulinda hata maslahi ya taifa. Watu hatari sana hawa, hawafai kwa jua wala kwa mvua.

Wakipewa nafasi wanaanza na matusi na vitisho
 
Pole Sana Mana unaongea kitu ambacho hukijui .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…