Umeongea kitaalamu na ninauhakika wewe ni professional kwenye field hii ya usalama Ila let me be crystal clear ccm imechokwa.Kama mnakumbuka Magufuli enzi zake aliwahi kuongea hadharani
'msini drive'.. mnakumbuka?...
Hata Lungu alikuwa Rais kutoka Opposition. Sasa hivi Hichilema siyo mpinzani tena, ni Rais wa Zambia kwahiyo usishangae marafiki ,ake watakuwa watawala kina Samia, Kagame, Uhuru na siyo kina Zitto tena.Samia atalazimika kumpongeza gaidi wa Zambia.
Moja ya kosa kubwa kulifanya kwa hao jamaa ni kuwashauri jema kwao,au kuahimiza watumie akili,utaonekana msaliti tu.Hata Lungu alikuwa Rais kutoka Opposition. Sasa hivi Hichilema siyo mpinzani tena, ni Rais wa Zambia kwahiyo usishangae marafiki ,ake watakuwa watawala kina Samia, Kagame, Uhuru na siyo kina Zitto tena...
Tatizo sio udikteta wa CCM bali ninyi mnaouwezesha, na mfano hai ni huu kwenye comment yako. Badala ya kutafakari analysis hii bora kabisa, unakurupuka kumtuhumu mtoa mada kuwa "katumwa na system." Same thing happening on social media, Prof Shivji, nguli wa sheria huyu, alipotoa maoni yake kuhusu katiba mpya, akadhihakiwa kuwa amezeeka vibaya, anataka u-DC.Mbona unaandika kwa kulalama namna hii ? Ndio the so called SYSTEM wamekutuma ? One thing you should know for sure DICTATORSHIP have definitive end ! Angalia historia duniani ! Ujue CCM DICTORSHIP will finally crumble ! And sooner than later ! We are in the digitally connected world not giving a sh** to outdated so called systems.
Na wewe umefanya alichofanya kwahyo mko sawa!Tatizo sio udikteta wa CCM bali ninyi mnaouwezesha, na mfano hai ni huu kwenye comment yako. Badala ya kutafakari analysis hii bora kabisa, unakurupuka kumtuhumu mtoa mada kuwa "katumwa na system." Same thing happening on social media, Prof Shivji, nguli wa sheria huyu, alipotoa maoni yake kuhusu katiba mpya, akadhihakiwa kuwa amezeeka vibaya, anataka u-DC.
The system doesn't give a sh*t about you not giving a sh*t. Because, again kama ilivyozoeleka mitandaoni, anonymous people can't do sh*t except kutukana wakiamini hakuna atakaewabaini. Real changes are brought about by real people, not clowns hiding behind fake IDs.
Na wewe huna akili umeweka kubanduliwa mbele.Mbowe hana akili yeye pesa mbele
Hakuna system hapa bongo kama JPM aliweza kumtimua Top wa usalama na kubadili vitengo kibao sidhani kama kuna mtu zaidi ya Rais. Hta samia akiamua anaunda mfumo wake tu ndani ya mfumo na hakuna kitu "the professionals" watamfanya.Swali langu kwa Chadema ..the system mnawasikiliza?Mtaweza kwenda against them kama hata Rais hawezi?
Funny enough unayetoa ushauri huu upo A million miles kutoka ground zero then unatukana waliopo nyuma ya fake ID?? kwani sisi sio real people au members wa JF ni BOTS?? Kampeni za upinzani nchi nzima zilikua adressed kwa fake IDs au watu??Tatizo sio udikteta wa CCM bali ninyi mnaouwezesha, na mfano hai ni huu kwenye comment yako. Badala ya kutafakari analysis hii bora kabisa, unakurupuka kumtuhumu mtoa mada kuwa "katumwa na system." Same thing happening on social media, Prof Shivji, nguli wa sheria huyu, alipotoa maoni yake kuhusu katiba mpya, akadhihakiwa kuwa amezeeka vibaya, anataka u-DC.
The system doesn't give a sh*t about you not giving a sh*t. Because, again kama ilivyozoeleka mitandaoni, anonymous people can't do sh*t except kutukana wakiamini hakuna atakaewabaini. Real changes are brought about by real people, not clowns hiding behind fake IDs.