lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
sasa hivi kauli ya kujivua gamba ni maarufu mno
hata kwenye mazungumzo ya mapenzi au ya kijamii mengine
utasikia watu wakiitumia hii kauli.......mpaka kwenye magazeti ya udaku inatumika...
sasa swali hapa ni nani alianzisha kauli hiiiiii?????????/
ni mwenyekiti wa ccm .kikwete
wakati wa uchaguzi wa marekani kauli maarufu ilikuwa 'yes we can'
na mwisho kauli hiyo ikathibitisha kuwa obama ni maarufu na anakubalika zaidi.....
sasa kama watu wa chadema wanatakiwa kujiuliza je kuna kiongozi gani wachadema
ambae akizungumza kitu au kutoa kauli inashika moto kwa umaarufu?????????
unaweza dharau haya mambo lakini ni ishara tosha ya kuonesha
kukubalika au kutokubalika kwa kiongozi......
kuna mtu anakumbuka kauli ya john mc cain????????ipi???????
inawezekana umaarufu wa chadema na viongozi wao upo a little bit exaggerated....
vitu vidogo kama hivi vinaweza onesha jamii inawasikiliza zaidi kina nani....
au mnasemaje??????????????????????
mkuu kuwa makini unaweza kufulia, hakuna matiki hapo unataka kusema watanzania hawana shida au awajui sshida zao, watu wanataka maisha bora na hapo ndipo ccm inapoliwa kwa kudhani huu ni muda wa porojo kama ni umaarufu wa hayo manenp basi unatokana na chuki kama alivyokuwa osama
hakuna anaekataa kuwa maisha magumu
au ccm wameshindwa
ninachozungumza hapa ni kuwa
je jamii inaisikiliza chadema?????
kwa sasa jamii ina move hiyo lakini bado haiko sure sana kwa mujibu wa utafiti wangu, ila haiko ccm jamii ilishatoka huko siku nyingi ndio maana JK kura alipata kiduchu lakini akaongezea kidogo , ili liko wazi kabisa jk ni raisi pekee Afrika hawezi kuchomoa sura kwa wananchi maana anajua hawamtaki, anachofanya ni kuwavizia wakia makanisani .
so yes jamii hiko na chadema na gain ya wabunge ya mwaka jana ni ushaidi tosha.
umaarufu wa mtu unaweza pimwa kwa anachokiongea kinaifikiaje jamiii
hata kama jamii itakipinga kwa nguvu but still
ukiona jamiii kwa asilimia kubwa wamesikia au wanakijadili
basi huyo mtu ni maarufu sana au anakubalika sana.....

chadema wanacheza mchezo wa ccm
wa kukifanya chadema kuwa chama cha kupiga kelele na kuikosoa ccm
wangekuwa na akili wange jiweka kama chama kinachojiandaa kuchukua nchi
na wangeweza wangekuwa na kauli ambazo wananchi wanazijadili
chadema wangeweza wangewafanya wananchi waidharau kabisa ccm na wasi pay attention kabisa
na kauli za ccm
hivi kama mna uhakika wa kuchukua dola 2015 ya nini kupiga kelele za katiba mpya now??????
kwa nini msisubiri mchukue dola msimamie vizuri zoezi hilo???????
hamkuwaona akina odinga na odm????????????