[QUOTE=GGUY;
baada magamba kutumia kila mbinu katika uchaguzi lakini watooto wa
wakulima waliweza kuilinda kula mpaka saa 9 za usiku kuibuka kidedea kwa
ushindi mkubwa sana ,na huu mwanzo tuu 2015 itajulikana
peopleezzzzzzz
Poweeeeerzz
Big up kwa hao wanachuo ila NAOMBA NIABALISHE ULIKUWA NI UCHAGUZI WA NINI?