Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 968
- 542
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa.Chadema wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha chadema.
Nadhani kuna umuhimu wa chadema kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha chadema.
Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za chadema kuhusisha ccm kwenye milipuko ya arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na chadema wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.
Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha chadema.

Mtoi kwa mambo yalivyo siku hizi hayahitaji logic hata unaelimu kama ya sugu na lema unagundua tu kwamba mwigulu kawashika chademaWasiwasi ni hao wanachuo! Walikuwa wanachuo wa chuo gani hao?! Tanzania haiishi vituko! Hao wanachuo watakuwa wanafundishwa somo la Mantiki (logic) kweli?!
Ni Tanzania tu ambapo muuaji anasifiwa kwamba ni machachari. Ingekuwa nchi nyingine Mwigulu angekuwa keshanyongwa zamani. Hata haiingii akilini mtu anapomsifia mtu aliyeua hadi watoto wadogo wasio na hatia!! Bado tuna safari ndefu!!!
Mkuu rudi kwenye hoja mbona kata alizoshinda husemi,jibu andiko la jamaa,je kunamwanachadema hata mmoja anaweza kupangua hoja za mwigulu?Unaongea pumba, kwa taarifa yako huyo unayemtaja alipiga kampeni ya udiwani Iyela-Mbeya na Iseke- Singida na sehemu zote hizo madiwani walioshinda ni wa Chadema.
Mtoi kwa mambo yalivyo siku hizi hayahitaji logic hata unaelimu kama ya sugu na lema unagundua tu kwamba mwigulu kawashika chadema
Mkuu rudi kwenye hoja mbona kata alizoshinda husemi,jibu andiko la jamaa,je kunamwanachadema hata mmoja anaweza kupangua hoja za mwigulu?