singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Baada ya mkutano mkubwa wa ACT Wazalendo kufanyika jana katika viwanja vya Zakhem Mbagala na kumnadi mgombea wao wa urais, wabunge pamoja na madiwani wa ukiongozwa ni kiongozi mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe na sera zao kukubalika kwa wana mbagala na temeke kwa ujumla wake, kuibuka vijana wnosadikiwa kuwa ni weafusi wa chadema na ukawa wamekuwa wakipita usiku na kuchana picha zinazowanadi ACT Wazalendo.
Wafuasi ihao wa CHADEMA na wamekuwa wakichana matangazo yenye picha zenye kuwadi wagombea wa chama hicho katika wilaya ya temeke hususani maeneo yote ya Mbagala, walikasirishwa na maneno ya mzaha wanayoyapata kutoka kwa wana ACT kuwa mgombea wao na ukawa hawezi kuzungumza zaidi ya dk 10 tofauti na mgombea mwana mama wa ACT ambaye anaju jinsi ya kumiliki jukwa hata zaidi ya masaa 3.
Tofauti na jana Temeke na Mbagala yote ilikuwa imepambwa na picha zaa kuwanadi ACT wazalendo zikiongozwa na kiongozi mkuu wao Zitto lakini leo asubuhi picha nyingi zimeonekana kuchanwa.
Wapenda amani wamewataka vijana hao wa CHADEMA kuacha mara moja mchezo huo mchafu kwani ni kosa la jinai kuchana picha za wagombea na zinaweza kuleta vurugu badala yake wajikite katika siasa za kistaarabu zadi katika kutangaza sera za chama chao.