Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu Posts na Comments ninazokutana nazo kwenye mitandao ya jamii, zinahusiana na siasa za Tanzania. Mitandao hiyo ni kama hii Jf, twitter, facebook, blogs nk; wengi wanaotoa comments inaonekana kuwa kama si washabiki basi ni wanachama wa CHADEMA. Hii dalili nzuri kwa chama hiki pendwa kwani watumiaji wengi wa hii mitandao ni wasomi na/au vijana ambao wanao uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko. Ukweli huu unadhihirika pale anapokuwa anatoa Topic/Thread mwanachama au mshabiki wa CCM; hiyo topic ikiwa imelalia upande wa CCM, wengi wanaochangia wanam-oppose vikali sana. Sasa ambacho najiuliza ni kuwa hizi ni dalili gani kwa Chadema? Kuna mchango gani mitandao hii ilionayo katika kukua kwa Chama cha siasa? Wasomi wengi (ambao ndo wanaitumia sana mitandao hii), wameichoka CCM? Kifo cha ccm? Au humu wengi ni wahuni, kama wanavyojitetea ccm?
Nawasilisha!

THREAD YA KIDAKU ZAIDI HUELEWEKI UNASIFIA AU UNAPONDA UKO KAMA KINYONGA MARA WASOMI MARA WAHUNI,NAHISI WEWE NI GAMBA LILILOKO NJIA PANDA AMUA MOJA KAMA GAMBA KAA NA GAMBA LAKO KAMA UNATAKA GWANDA VaA TUIKOMBOE NCHI YETU PAMOJA PERIOD
Sabina acha ubishi. umetuita sisi wahuni.we hata huelewi ndugu yangu. Kuna tofauti kubwa kati kusoma sentesi nzima badala kuchukua neno moja katika sentesi nzima. Kama we kweli ni muelewa, naomba urudie kusoma hizo sentesi ulizowekea RED, then uniambie umeelewa nini kabla cjakupa KUBWA!
Sabina acha ubishi. umetuita sisi wahuni.
Hata me nashangaa kwamba hawajapita, inawezekana bado wanaomboleza kufumuliwa kwa mwenzao kule Igunga!