assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Naona mnafananisha mlima kilimanjaro na kichuguu!
Naona mnafananisha mlima kilimanjaro na kichuguu!
ACT ndio nini ? Kile chama chenye nguzo kuu.............kifo na usingizi havifanani.......
Zitto ana akili kuliko mbowehakuna kitu hapo.zitto mbona hajitokezi hadharani?anasubiri amalizie ubunge wake wa mahakama?
Wabunge wengi wa chadema hawarudi 2015, labda wahamie vyama vingine warudi kupitia vyama hivyo
Zitto ana akili kuliko mbowe
ACT ni kiboko ya Mbowe na Dr Slaa
Njaa ni mbaya sana
hilo mbn likowaZi
halaf ukae na mchaga ni hatar
ACT ni tawi la magamba. ..lengo la magamba kuanzisha ACT ni kudhoofisha chadema na hilo nalo litapita poleni magamba poleni policcm poleni ACT