CHADEMA-Vipi huku Mwanza, kulikoni.....?

t

Ukitaka kuwaona vaa nguo ya kijani lile shati lenu halafu pita nalo Makoroboi utaziona hizo bendera unazozitafuta
 
Mtambuzi inabidi hawa wadau wote wanaohakikisha kwamba Mwanza iko imara basi wakutafute ili kuthibitisha dukuduku lako.

Labda kwa wale wenye wasiwasi na mdau mtambuzi aliyeonyesha wasiwasi wake, nataka niwathibitishie kwamba yeye si mwanaccm kama ambavyo watu wengine wanadhani, Mtambuzi ni mwanaharakati wa mageuzi tena wa ukweli ndio maana amestuka kutoona vuguvugu la bendera za Chadema kama alilozoea kuziona maeneo mengine.

mwanza hatuweki bendera ....sisi ni watu wa action hata magamba wanajua hilo.......na ukitaka kujua chadema ipo mwanza itisha mkutano hata wa kata ila bendera zipo nyingi mbona

Aisee mpe aelewe, asidhani kwa Kuwa bendera hakuna na Chadema hakun,hebu karibu kupinga Makoroboi na bendera yako ya Ccm uonyeshwe kazi,Ndiyo utaijua Mwanza ukoje. Umetumwa na ANNA Spika nn?


...hauna haja ya kuzunguka jiji looote,ukitaka kujua nguvu ya CDM Mwz,watafute Masha na Dialo uwaulize nguvu ya Chadema Mwanza ikoje watakupa jibu mujarabu...


Zipo, ila CHADEMA c chama cha bendera bali ni chama kilichomea na kunawiri kwenye mioyo y watanzania wapenda maendeleo.


katikati ya stand ya tanganyika kuna tawi la chadema,ukishuka hapo stand ya tax kuna bendera mbili juu ya bango kubwa,ukishuka makoroboi ndio usiseme.una makengeza au upo mwanza ipi wewe?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…