Haikushangaza Mwalimu Nyerere alipoamua kuwageuka wana CCM wenzake na kwa kushauri na kushinikiza kuwa Nchi yetu iingie katika mfumo wa Vyama vingi.
UKWELI ni kiwa BILA UPINZANI IMARA NCHINI, Watawala wa CCM wataifilisi nchi hii. Embu hata wewe msomaji fikiri nchi hoi isingekuwa na upinzani imara hasa chini ya CHADEMA, hali ingekuwa je mfano matukio kama MEREMETA, EPA, MISHAHARA HEWA, ESCROW na mengineyo yangetupeleka wapi?
Ni kwa sababu hii nimeona niwakumbushe viongozi wetu wa Upinzani hasa Vyama vya UKAWA (Japo naamini watatafuta jina jipya sasa,), Kuwa Uchaguzi wa serikali za mitaa hauko mbali no desemba. Ni vema sasa kazi ya kitoa hamasa na elimu kwa umma ianze tena kwa kasi na kujipanga.
Vinginevyo, Tusishangae UHARAMIA wa Dodoma (BMT) ukahamia katika uchaguzi huu muhimu!