Kwenye ishu ya kujiendesha naamini inawezekana, iwe kwa ruzuku au michango kutoka kwa wafuasi na wanachama. Angalia kwa mfano namna walivyochangisha mil 350 za hukumu ndani ya siku chache tu. Pia kulishawahi kuwa na harambee ya M4C ya kusudio la kununua "Nissan" 50 na "kupata" chopper 2! Ilianza vizuri sana ikaishia hewani!Km Chadema t.v. online imewashinda
Wataweza wapi kulipa kodi wakianzisha kituo?
Km bilion 8 zinapigwa na mtu mmoja unategemea nini?
Hivi zile B8 alizochukua Mbowe zinafanya kazi.
Sababu Chama ofisi wamepanga wabunge hawawanui wala hakina vitegauchumi zile pesa wanazopewa na serikali kama ruzuku zinafanya kazi gani?
Kwenye ishu ya kujiendesha naamini inawezekana, iwe kwa ruzuku au michango kutoka kwa wafuasi na wanachama. Angalia kwa mfano namna walivyochangisha mil 350 za hukumu ndani ya siku chache tu. Pia kulishawahi kuwa na harambee ya M4C ya kusudio la kununua "Nissan" 50 na "kupata" chopper 2! Ilianza vizuri sana ikaishia hewani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo msemaji wa chama Jon Mrema alisema eti "tukamwulize CAG"!Hivi zile B8 alizochukua Mbowe zinafanya kazi gani?
Sababu Chama ofisi wamepanga wabunge hawawanui wala hakina vitegauchumi zile pesa wanazopewa na serikali kama ruzuku zinafanya kazi gani?
Duh!Nani alikudanganya zilichangwa mil 350? Kile kilikuwa kiini macho
Uwezekano huo upo kwa kuzingatia mwenendo wa siasa za Afrika. Ila hauwezi kutumika kama kisingizio kwani hatujawaona wakijaribu kisha serikali ikawakwamisha. Mfano, kuna gazeti la Tanzania Daima ambalo mrengo wake uko dhahili na chadema hunufaika nalo indirectly. Hili lipo miaka nenda rudi na likiingia msuguano na serikali huwa si kwa kuwa wamekosoa au kuweka content zao, bali kwa kuwa wameweka habari ambayo hawawezi kuthibitisha!Nami naunga mkonyo ooh mkono hoja. Kwa nini chama hakiwekezi katika miundombinu ya kudumu hasa tv. Hisia zangu labda wanaogopa kuhujumiwa kwa kituo kuvamiwa na wasiojulikana na mitambo yao kutaifishwa mazima. Kingine kuzimiwa channel hasa kwenye vipindi ambavyo vinaonekana kuishushia followers ccm kwa polisi kuzuia au hata matangazo kukatwa. Nadhani inabidi turejee ufungiwaji wa magazeti hasa yale ambayo yalionekana kutokuwa na mlengo wa chama tawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM wao walijiongeza mapema wakajisogezea Channel 10 na Magic fm. Channel 10 wanaporusha session za bunge hufuta vipande walivyoongea wapinzani! Eee, si TV yao!Ina maana wanashindwa hata na WCB?
Wameshindwa kujenga ofisi ya Chama wataweza kuanzisha Tv station. Chama kinatawaliwa na mtu kama mali ya familia.Mpaka sasa chama hiki ndiyo kikubwa zaidi miongoni mwa vyama vya upinzani. Kwa wanaokumbuka uchaguzi wa 2010 ulionesha umuhimu wa chama hiki kuwa na kituo chake cha television kitakachooneshwa kwenye luninga mbali na vile vya mtandaoni.
Ikumbukwe pia namna kipindi cha TBC cha "mchakato jimboni" kilivyochangia kuipa umaarufu chadema sanjari na wagombea wake. Mwangwi haukuishia kuipaisha chadema bali pia kuishusha ccm na wagombea wake kiasi cha chama hicho kuwapiga marufuku wagombea wao kushiriki midahalo ile! Pia kipindi hakikumwacha salama mtunzi wake!
Kwa kifupi hakuna asiyejua umuhimu wa upinzani kuwa na jukwaa lao huru hususan nyakati za kampeni. Sasa pamoja na kelele za wafuasi wengi wa chadema kuitaka kuwa na TV yake kitu ambacho ikismua inaweza, mpaka sasa ni ngumu kudhani kuwa kuna mpango kama huo ndani ys chama.
Sasa hebu tujadili. Unadhani nini kinawakwamisha watu hawa kuwa na TV station yao? Je ni utashi hafifu? Ni ukata?
Tujadili.
Ukisikia maoni ya wanasiasa wengi walioingia na kisha baada ya muda kutoka chadema (Sumaye, Lowasa, et al) wanakosoa kuwa chadema haitaki kujiendesha kama taasisi bali inataka kuendelea kujiendesha kiharakati. Pengine ndiyo sababu mwaka 2012/13 waliweza kuja na hutuba ya wazili kivuli wa maliasili na utalii wakikosoa vilivyo namna serikali ilivyokuwa ikilinda mfumo wa ujangili lakini miaka 6/7 baadae wanakuja kujikataa na kusema ulikuwa uongo na taarifa za "kuokoteza mitaani"! Hapo hapana utaasisi.Kwa mambo yanayoendelea ni aibu kusikia chadema ndio main opposition party yani its a big shame kwamweli
Tumesha list sana mambo yakufanyika lakini ni kama chama kimegeuka Kunufaisha genge fulani kwa uhuni huo nchi mtabaki kuisikia tu