MKALIMOTTO
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 136
- 9
Cement itakuwa sh. elfu 5, elimu bure mpaka form six, huduma za afya bure, hospitali zitakuwa na vifaa vya kisasa, mishahara ya watumishi itaboreshwa, kodi ya bidhaa za akinamama zitafutwa, kodi za kuingiza magari zitapunguzwa na barabara kuu zote zitawekewa lami. Kwa kipindi cha miaka mitano umasikini nchini utaondoka...
ubongo umechanganyika na mchuzi wa dagaa.
USINITAFUTIE BAN NDUGU YANGU. SOMA THREAD KWANZA USIPOIELEWA KUTOKANA UGONJWA HATARI WA UKOSEFU WA BUSARA KICHWANI(UWABUKI), KOJOA ULALE, KAZI WAACHIE GREAT THINKERS.What a thread, . .. .. . Ptuuuuui!!
Makamanda ninadhani sasa ni muda muafaka kwa majemedali wetu wa CDM kuanza kutuambia ni mikakati gani wameiweka juu ya sera ya utawala wa nchi hasa katika mambo ya ulinzi na usalama, sera ya nje ya nchi, uboreshaji wa maslahi ya watumishi, rasilimali za nchi dhidi ya uwekezaji dhulumifu. Ikumbukwe kuwa CDM yetu ndiyo mkombozi wa mtanzania maskini na kwamba tayari imefanikiwa kuwaamsha wananchi kutambua umuhimu wa kudai haki. Ni jambo la msingi sasa watueleze juu ya sera za utawala watakazozitumia ili kutuhakikishia umoja na utulivu wa nchi. Ninasema hivi kwasababu tangu awali Dr. Slaa ameonekana kuingia katika mgogoro na vyombo vya ulinzi na usala kama polisi, jwtz na usalama wa taifa kwa kuvituhumu kuilinda ccm. Je, akiwa Rais atavivunja na kuunda vya kwake?, atajenga urafiki ili vilinde maslahi yake?. Ikumbukwe ndugu zangu dola ndiyo nguvu ya nchi sehemu yoyote ile. Ni vyema basi viongozi wa CDM walione hilo ili wasije ingia kwa pupa, wakadhani kuivuruga dola itawasaidia la hasha. Karibuni kwa michango itakayojenga chama na utawala bora wa CDM 2015

Chadema ina Manifesto (Ilani za Uchaguzi). Nenda kwenye tovuti ukaisome. Halafu kukemea vyombo vya usalama/dola kwa sababu havitimizi wajibu wake au vinafanya kazi kwa upendeleo haina maana ya kuvichukia au kuvitenga. Kama CDM ikishika madaraka moja ya kazi zake itakuwa kuvifanyia mageuzi vyombo hivyo kama itakavyofanya katika sekta zingine. Ndiyo maana ya M4C (Movement for Change).Ninawaomba wachangiaji, huu uzi ni mhimu sana kwa uhai wa cdm. Tunazungumzia mambo ya usalama wa nchi, zipi ni sera za cdm? Huwezi kuongoza nchi with collapsed security body. Cdm inawadis sana wanausalama, polisi jwtz n.k. So itafanya kazi na nani?
Kumbuka mikakati ya kutawala kamwe haiwezi kuwekwa wazi au hadharani.
cement itakuwa sh. Elfu 5, elimu bure mpaka form six, huduma za afya bure, hospitali zitakuwa na vifaa vya kisasa, mishahara ya watumishi itaboreshwa, kodi ya bidhaa za akinamama zitafutwa, kodi za kuingiza magari zitapunguzwa na barabara kuu zote zitawekewa lami. Kwa kipindi cha miaka mitano umasikini nchini utaondoka...