CCM:rip: mtaji wao ni wazee, wajinga wasioweza kufanya maamuzi na mapoyoyo washobokea JEZI NA cape,mwana utakuwa mmoja wao,ur so lame. grow up,changes is u fool.:yield:
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

Mamangu alinilea nikaleleka na alinionya matusi si kitu kizuri!!! Ni athari za malezi mabovu ya familia yako ndio maana huoni aibu kutoa matusi!!!! Hiyo ndio sababu inayonifanya niichukie CHADEMA maradufu kwavile wafuasi wake wengi wanaonesha taswira ya uhuni!!!! Hivi huwezi kuongea bila kutukana?! Sasa kwa taarifa yako, mimi mtoto wa uswahilini; nimezaliwa na kukulia kwenye maeneo yenye viwanda vya matusi! Kama wewe unajua kutukana tuombe ruhusa kwa moderator ili aruhusu mimi na wewe kutukanana humu ndani!!!!
Ubaya ni kwamba zile sehemu zenye masikini wengi nchi hii (Temeke inclusive) ndio vipenzi vya CCM.....!!!!!??
You couldn't say more! anagalia trend ya ushindi wa CCM............aibu, yaani wanakubalika na wajinga. (sio wote ktk hayo majimbo ni wajinga lakii majority ni zero kabisa!)Ni kweli kabisa... tulitegemea hivyo, kwani ccm inashina majimbo yote yenye watu wasio na elimu au maskini kwani hawajui rights zao
Kigamboni ndio wanatia huruma zaidi kwani hata ardhi yao imeuzwa
tunaongelea wanaochagua CCM against mabadiliko.....wabunge wengi wa upinzani.What about Kigoma mkuu? Na Lindi walioichagua CUF nao ni matajiri wasomi?Hivi ni kwanini mnaona wenye akili ni wale tu walio CHADEMA?! Lazima mkubali penye vyama vingi lazima wafuasi wagawanyike kwenye vyama !!!
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!
Ajabu kubwa ni kuwa siku zote majimbo masikini CCM inashinda kwa kushindo. Kwa nini?
You couldn't say more! anagalia trend ya ushindi wa CCM............aibu, yaani wanakubalika na wajinga. (sio wote ktk hayo majimbo ni wajinga lakii majority ni zero kabisa!)
Ndiyo maana Temeke na Kigamboni ni maskini wa kutupwa. After all hivi huko Kigamboni na Temeke population kubwa si ile ya vihiyo? Wakigawiwa Khanga na t-shirt wanafikiri ndiyo utajiri wakati quality ya hizo nguo nayo ni ya kuchakachua, ukifua mara moja hurudi tena kuvaa inabidi iwe tabara la deki/kufua mavumbi.