Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Wakati Umefika kwa makamanda kususa shughuli za kisiasa kama walivyofanya CUF-Seifu Zanzibar.Kwani hoja zenu hazijaungwa mkono na wabunge wa CCM kwenye vikao vya bunge vinavyofuata.Ili kuweka kumbukumbu sawa wabunge wote wa Chadema wajiuzulu ili kujitenga na maamuzi ya Bunge. Pili,wananchi wamewapuuza na ninyi midasuse.Mkifanya hivyo wazungu watawasifia sana kisha Triump at awasaidia mshindemail uraisi.
Ikumbukwe hata akina Nyerere,Mandela na wengineo waliacha ajira na kuingia mtaani kwa ajili ya wananchi.Hivyo makamanda huu ni wakati wa kuonyesha wananchi kuwa ninyi "hampo bungeni kwa mshahara"
Sambaza ujumbe huu uwafikie makamanda wote.