CHADEMA Songea mapande mapande!

kitambiheshima

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
452
Reaction score
116
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Songea kimehitimisha msambaratiko mkubwa unaokikumba chama hicho nchi nzima. Ni baada ya uchaguzi wa jimbo kushindwa kufanyika, baada ya kuahirishwa mara tano na mara ya mwisho ulikuwa ufanyike tareh 24.08.2014 ukaahirishwa. Joseph Fuime, mwenyekiti wa mkoa amekivuruga chama kwa kupanda mamluki kibao, kisa yampe kampani kwenye ubunge 2015. Kwasasa zaidi ya wanachama 10 wameapa kukisurubu chama hicho kwa kuhakikisha kuwa wanakihama. Fuime nae amesikika akisema kuwa wakimbabaisha zaidi anahamia ACT ambako uchunguzi umebaini kuwa anakutumikia kiaina.

My take; Yetu macho.!
 
Hivi bado kuna chadema tanzania kweli
 
Vipi kuhusu mradi wenu wa kesi za ugaidi unaendeleaje?
 
bora fwime kuliko bata kaka yako edsoni mbogoro

Hakika kama kweli cdm wanalipenda jimbo la songea mjini.2015 wasiludie kumsimamisha edsoni mbogoro.huyu jamaa ni bata hauziki
 
Tatizo la chadema songea na mkoa wa ruvuma kiujumla ni kubweteka na kusubiria vyeo tu badala ya kukieneza chama! Mkoa wa ruvuma cdm ipo zaidi songea mjini tu! Mbinga, namtumbo na tunduru hakuna mipango mikakati ya kukieneza chama maeneo hayo!
 
Ni sawa na tunavyoisikia ACT humu jf mkuu

tatizo ni viongozi

viongozi wa vyama vya upinzani wanaharibu sana vyama yaani kama hakuna hatua stahiki zitakazochukuliwa basi mfumo wa vyama vingi utabaki katika maandishi

maana viongozi wakitofautiana kidogo wanakimbila kwenye media which is wrong
 

dogo acha siasa nyepesi,au umetumwa kumchafua fuime?tatizo la songea ni vita ya ubunge baina ya fuime alietangaza nia dhidi ya mbogoro anaejiona mgombea wa maisha.mbogoro aliunda mkakati kuhakikisha fuime anaondolewa ktk nafasi ya uenyekiti wa mkoa.sinema ilipoanza wenye akili wamestukia mchezo wameapa kumsapoti fuime,japo kampeni chafu dhidi yake inaendeshwa na viongozi wa kanda na washirika wao.
Ukiwa chadema dhambi kubwa ni kutangaza nia.
 
[h=3]GOAL[/h]MK Dons 1-0 Man Utd - Will Grigg (25 mins)
 
Unajuwa hawa jamaa hawakuwa tayari kiuchaguzi,baada ya kumshughulikia zito kufanikiwa,fasta wakaitisha uchaguzi,wachaga ban!!! Hamuwezi kuchukuwa dola kwa kutegemea kanda moja.
 
Fuime pia amedaiwa kuwa na mawasiliano na watu wa ccm. Kama anakataa ukweli aje hapa akanushe kukutana na mbunge Nchimbi tarehe 17.08.2014, nyumbani kwake Mateka, Songea, usiku wa manane na akapewa mil. 20 ambazo ndizo ananunulia mahindi na kisha kuyauza NFRA. Kituo chake cha kununulia mahindi ni Mletele na kisha anayasomba mida ya jioni kupitia making'inda kwa Kuchire na kuyahifadhi kenye maghala ya mzee Msimamo. Kama anabisha aje humu akanushe kuwa ile fedha anayonunulia mahindi kwa wingi si ya Dr. Nchimbi!
 

Uuzaji mahindi unahusiana vipi na uchaguzi wa chadema?
Huo usiku wa manane na kupewa hizo milioni ulikuwepo kama shahidi?
Je ni dhambi kuuza mahindi?
 

Kakisemee kwa msajili kuwa kinasambaratika! wabongo kwa vyama ndo mchawi wetu alipotukamata hapo, ccm, cuf, chadema, act na urojo mwingine! Hatuwazi maendeleo ya taifa na ya binafsi tunawaza vyama tu, tunavaa bendera za vyama! what hell! hata waliotuletea vyama wanatucheka tu, sijawahi kumuona Obama kavaa kichama (labda nikosolewe). Sisi ni wabinafsi na mazoba tu, watu wanauana, wanatesana na kufanyiana unyama kisa vyama vya siasa. Hatuwazi maendeleo ya taifa bali tunafanya mambo kwa kukomoana kisa vyama!
Hata vyombovya habari haviwezi kutoa habari ya maendeleo wanaandika kulingana na misimamo yao kichama, uji.nga mtupu. Hata mwenzio akiwa na wazo endelevu utalikataa tu kisa mko vyama tofauti, huu ni upu.mbavu. Kwa mtazamo huu hatuwezi kufika tunakotaka kufika.
 

Mkuu inaelekea uliona tukio, je, unaweza kutuoneshea picha ya ushahidi?
 

Acha upuuzi wako wewe.fuime anaongea na kila mtu warika yoyote ile usitake kumpangia wakuongea nae.bata wako mbogoro ndio ndio asiye faa anajitenga hata kwenye shughuri za kijamii.

Mkakati wenu wa kumchafuwa fuime ukome mara moja
 
we kitambi heshima. Ivi zile kessi alizokuwa anafunguwa mbogoro za uchaguzi zidi ya wagombea wa ccm zilikuwa zinaissha vipi?

Je tuhuma ambazo raia na wapenzi wa cdm wanazoongea kuwa mbogoro huwa anavuta mkwanja ili kesi ziishe nikweli?

Siasa zako za majitaka usizirete songea mjini.fuime nijembe letu.

Tumewabamba mkakati wenu na akina mbowe wakutaka mbogoro agombee tena ubunge 2015 wakati hauziki.
 
Walianza na shetani watamaliza na shetani mda bado upo watazichapa tu huo ni mwanzo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…