The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 836
Kitabu hukifaham jina mana yke umetoa kichwan mwakoKuna kitabu nilikisoma sikumbuki jina ila kinaelezea kuwa "baada ya majaribio mengi ya kimapinduzi Mwl Nyerere na viongozi wachache sana wakakubaliana kuanzisha mfumo ambao utachunguza vijana watiifu sana wa TANU na hao ndio watachaguliwa kuwa kuwa viongozi na sio mfumo uliokuwepo awali wa kuwachagua kulingana na elimu yao...." huu mfumo hadi leo unafanya kazi huwezi shika nafasi ya mamlaka bahati mbaya
Unayo unisaidie na mm mkuuKuna documentary yake, ni nzuri sana
Analiwa kichwa kbs akizingua.Atakayepenyezwa nae asiwe na tamaa, mana atakutana na pesa nje nje atajisahau
Una akili ndiyo maana nakupenda sana.Ni njia nzuri na ya amani sana. Shida wabongo, watakao penyezwa huko, atajipendekeza kusema ametumwa kufanya nini, ili tu apate cheo na pesa. Hayo kwa Afrika sidhani, nchi za nje inawezekana. Sisi ubinafsi, njaa, tamaa kushinda hiyo mbinu inahitaji mtu na nusu.
Tafuta Google link utapata broWeka apa tukisome
Ooh Ahsante sana Satoh Hirosh nakupenda pia, tuko pamoja 🤝Una akili ndiyo maana nakupenda sana.
kupenyeza watu kwa mazingira ya dunia ya tatu uwe na uwezo wa kifedha pia Chadema hawanaView attachment 3353075
Hiki kitabu kina itwa THE BOOK OF SOUTHERN QI DYNASTY kinazungumzia vipi unaweza kuua kwa kutumia upanga wa kuazima. Yaani hapa njia ni kua unapenyeza watu wako kule ambako unatk kuangusha ufalme halafu unatumia hao kuangusha ufalme.
Mfano Chadema ingepenyeza watu serekali washike nafasi za juu Kam vile IGP NA MKUU WA MAJESHI bila CCM kujua then wanashiriki uchaguzi wanahamasisha watu kwenda kupiga kura mwisho wanamtumia IGP na MKUU WA MAJESHI kuilazimisha kufangaza matokeo ya haki au wawe na siku mbaya sana maishan mwao
But long time no see..!Ooh Ahsante sana Satoh Hirosh nakupenda pia, tuko pamoja 🤝