Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,141
- 46,399
kama ulikua unadhani kuishabikia chadema utakua umefanya jambo la maana sana katika maisha yako; basi ndugu yangu nikustue mapema. Unakosea.
Usijaribu kufikiri kwa namna yoyote ile chadema inaweza kua mbadala wa ccm kwa kuja na plan tofauti ya kutukwamua kiuchumi.
Hakuna jambo kama hilo. jambo hilo limejidhihirisha kwa tamko lao kuhusiana na fedha za mcc. lengo kuu si kuwachonganisha wananchi na serikali ya ccm kuwa wao ndio wamesababisha kukosekana kwa fedha hizo za mcc bali ni hulka na tabia yao ya kupenda vya bure toka kwa wazungu.
Ikumbukwe kwamba chadema ina mahusiano na vyama nje ya nchi ikiwamo ujerumani na japan ambao huwasupport katika kukiendesha chama.
Kwakua kupokea misaada ni hulka ya chadema si ajabu sana kuona wakililia kukosekana kwa hizo fedha.
kama ulikua umategemea lolote jipya sahau. huu ni ushahidi tosha kua chadema haina vision ya kulikomboa taifa hili kiuchumi zaidi sana ya kutufanya maskini na omba omba kwa wazungu.